babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Raraa-relee mi nalike tu maana hata uweke .
alikua analika tu
alikua analika tu
Stroke ni kati ya watu wa hovyo sana jamiiforum
😅..Pole !, japo hii haihusiani na hii mada.
Iliniuma sana mkuu.😅..Pole !, japo hii haihusiani na hii mada.
Hiyo haikuwa kibuti bali ilikuwa buti la nguvu maana sio kwa kuwèweseka huku🤣🤣
😂😂Daaah kupigana gani huko, mpaka nimeogopa 🤣
Hahahaha Pascal Mayalla mzee amekomaa sana aisee unampiga spana lakin yupo tu hana noma.Mimi huwa nasoma kwanza kisha na like ila kama nikianzisha uzi huwa nalike comments zote haijalishi ameandika nini kama paskali anavyolike hata ukimpa za uso.
Karibu Sana mkuuAhsante Sana mkuu
Yeah ,hana noma hata chembe.Hahahaha Pascal Mayalla mzee amekomaa sana aisee unampiga spana lakin yupo tu hana noma.
Min-meKuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu
Twende kazi
Hakuna. Hadi nisome kwanza.
Nikuokotee mawe🤣🤣🤣
Unipasue 😂Nikuokotee mawe🤣🤣🤣
Si ndio.Unipasue 😂
Dipresheni hizo na wikendi ishaishaSi ndio.