Inauma sanaHii Tanganyika yetu inasikitisha sana, huyu Mama ni Mzanzibari lakini anatunyanyasa cc pasipo na sababu ya msingi, ila ikitokea T. Lissu amedhulika yy na mtandao wake wataikimbia hii nchi, huwezi ukafananisha mapenzi yetu na T.Lissu na huyo Ndungai walichomfanyia.
Huyo hawamuweziLissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Kwa wakati huu mama angemtoa huyu dingilai, coz adui zake wanaweza kumzunguka wakamuua ili kumchafua mama kimataifa na kitaifa ,Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Huyo mama namuonea bure ukuskia anasema ana boss wake? Lissu anaweza kutoka mzima shughuli ikaishia akiwa nje kama JBL hii ina uhuni mwingi sanaHii Tanganyika yetu inasikitisha sana, huyu Mama ni Mzanzibari lakini anatunyanyasa cc pasipo na sababu ya msingi, ila ikitokea T. Lissu amedhulika yy na mtandao wake wataikimbia hii nchi, huwezi ukafananisha mapenzi yetu na T.Lissu na huyo Ndungai walichomfanyia.
Kwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getiniHuyo hawamuwezi
Ndo kinaenda kutoa Lissu akitoka namshauri aende zake hospital za nje akacheck afyaKwa wakati huu mama angemtoa huyu dingilai, coz adui zake wanaweza kumzunguka wakamuua ili kumchafua mama kimataifa na kitaifa ,
Mwee nani amshauli jambo hili rais
achaga ukenge we mlambishwa asaliLissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Hii akili hata mbwa hanaLissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
huyo mropokaji ni mahabusu kama wengine tu, hakuna wa kubabaika nae tofauti na mahabusu wengine.Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Sababu ya kumkamata hapo getini??Kwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini
The Lord will fight for you and you have only to be silent.Exodus 14:14