4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Sawa ,mtafanya nini mnauliza tena kwa kibuli okHivi mtafanya nini lakini? Zaidi ya silent protest?
Sijaona mtu yeyote wa kutoka hadharani au sirini na kufanya matendo ya kuifanya serikali isikie maumivu yoyote. Tuache kutisha tisha, yes hatupendezwi na yanayoendelea but hakuna kitu tunaweza fanya kwa watanzania waliopo sasahivi waliogawanyika.
Watamfanya wanachotaka na sisi tutamlilia Mungu tu aingilie maana wenyewe hatuwezi.
Kinachonisikitisha ni kuwa serikali nayo inajua fika hakuna kitu tunaweza fanya ila bado inachukua matendo mazito sana kujihami ambayo ni unnecessary. Hakuna wa kukinukisha tuacheni makelele tutulie watu wajipigie