Free TAL
Jela sio pazuri tusipende kujidai makamanda halafu tunataka huruma ya umma.
Amina ibaki kuwa Kheri....Lissu bado ameendelea kuwa mwiba mkali pamoja na kuwa jdani.Hamna lolote n heli
Yuko Tayari kula Kitanzi hadi kudanja kama atakutwa na hatia ya uhaini chini ya Fair hearinglkn mwenyewe aliiambia mahakama Hatii wala haombi huruma, ANADAI HAKI ZAKE, Kama ana makosa ahikumiwe kwa haki
Mahakama hii hii inayofanya kazi za ahirisho tu? Na haitaki mashahidiSubiri Mahakama
Kwanza sasa hivi analindwa ipasavyo kwasababu kelele za kutendwa ubaya zilianza kablaAmina ibaki kuwa Kheri....Lissu bado ameendelea kuwa mwiba mkali pamoja na kuwa jdani.
Mbona analindwa sana kuliko mahabusu wengine?huyo mropokaji ni mahabusu kama wengine tu, hakuna wa kubabaika nae tofauti na mahabusu wengine.
uropokaji umshikishe adabu 🐒
Inaonekana hata marinda yako walishayamaliza kitambo sanaHii ni mbwa tu. Hata ikifa haina impact yoyote kwa Taifa.
Nayeye hataki huruma,anataka haki itendeke na ionekane imetendeka.Jela sio pazuri tusipende kujidai makamanda halafu tunataka huruma ya umma.
Haki itatendeka tu kwani kuna mashaka juu ya hilo?Nayeye hataki huruma,anataka haki itendeke na ionekane imetendeka.
Kamanda Heche acha kulia lia wewe na Lissu miliamua kufanya siasa za mapambano na mkasema wazi hamugopi jela kama alifungwa Mandela sembuse sisi, mmekataa maridhiano na mkasema mtaakikisha uchagazi haufanyiki, sasa mlitaka serikali ifanyaje baada ya kauli zenu mara mtakinukisha.
Duuuh very sad😭