Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Mmmmhhh kwa akili yako nzuri sana ya kuwango cha Phd TAL anachopambana nacho ni siasa ngumu au ni dola kutaka asifanye siasa ya upinzani wa kweli.Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
mwache aendelee na viburi.Jambo la busara analoweza kufanya Rais Samia ni kumuachia huru Tundu Lissu
WaTanzania tusome sana jukwaa la Historia la JamiiForums kuna vitu vingi vitatufanya kuelewa nini cha kufanyia maamuzi sahihi, maana historia hujirudia :
Kanali Seif Bakari katika historia ya baada ya mapinduzi matukufu ukiisoma unaona kama yaliyotendeka yanajirudia : soma : source :
Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mateso akiwa kifungoni baada ya kupitia Mahakama ya Mchongo yaani Kangaroo Court :
View: https://m.youtube.com/watch?v=xXlGpTGqDTM
![]()
Leo katika historia: Undani wa hayati Abeid Amani Karume (1905 - 1972)
Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya Mwera kisiwani Unguja tarehe 4 Agosti 1905. Karume ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya...www.jamiiforums.com
Duh, š tena?
Duh, lakini kina heche wawe wanaenda ukonga, mara kwa mara...Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Mkuu samahani kuuliza kwa hivyo jambo hili tayari limeshatekelezwa ni suala la muda tu ama?Tayari uongozi wa CDM walishataarifiwa mapema kupitia jumbe fiche humu kwenye jukwaa kwamba kuna mtu alitumwa kutoka Dom mwenye nasaba na ukuta mrefu ili kumwondoa TAL kwa kutumia uchawi wa kizungu bila yeye kufahamu. Walishataarifiwa mapema kwamba waagize chip inayonasa sura mjongeo, mnato, sauti na kutuma yenyewe kupitia satelaiti sijui kama walifanya hivyo. ama la. Tangu TAL alipotoa taarifa kwamba ananyanyaswa kwenye ukuta mrefu kwa kuwekwa kwenye kamba ya kuzimu walimbadilisha kwa siku kadhaa lakini baadae alirejeshwa huko. Kwenye chumba kisicho na matumaini aliingizwa mtu ambaye ni kama stahiki ya yeye kuwemo humo lakini kumbe ndiye wakala aliyetumwa kutekeleza agano ovu. Inawezekana tayari huyo wakala aliyeingizwa chumba hicho ameondolewa kwa madai anahamishiwa chumba giza kingine ya ukuta mrefu
Watesi wanatambua kesi waliyombakia itatupiliwa mbali kwa hiyo hofu yao ni kwamba akitoka tu CCM haina chake maana kuanzia ndani ya chama chao karibia asilimia 80 wataasi na kupindua meza. Vyombo vya dola vilivyoandaliwa kuzima havina utaalamu wa kuwa proactive and generative kimatendo kupitia taarifa mbivu zaidi ya kubaki na mtindo wa kizamani wa reactive na mabavu.
Tayari walishamtilia upupu giza ndio unasumbua kwenye mzunguko wa damu Tarehe 13/8/2025 TAL akipelekwa mahakamani mtizameni kwenye paji la uso kati kati yake ijapokuwa atakuwa anonesha tabasamu kwa wafuasi wake na wadau wengine lakini kuna kitu atakuwa anakificha kimwili. bila kujua miongoni mwa wahudhuriaki wamepewa tochi ya kubaini kinachomsibu na amepandikizwa nacho akiwa ndani ya ukuta mrefu wa zege.
Tegemeo la nusura yake ni funga ya kweli na maombi matakatifu kwa niaba ya mtu mwingine aliyefungwa asiwasiliane na mwamuzi (intersession). Remember, do not dedicate prayers; rather, you should do intercession for TAL's survival and acquittal.
Km wanazuiliwa kumuona ? Yaani ni changamoto sn tuendelee kuomba tuDuh, lakini kina heche wawe wanaenda ukonga, mara kwa mara...
Maridhiano yalikuwa ya kipumbavu!Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Ngoja anyee debe mpaka mwakaniMaridhiano yalikuwa ya kipumbavu!
Kwani tatizo lake NI nini hasa ?Kwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini
Mtu akikosa Cha kuongea na cha kuandika, ""huandika lolote tu,ili kuamsha attention """,we call this vijana mpo?Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Sasa wasiwasi wa nnKwani kuna mahali wanaema amekufa?
BAHATI NZR HY BABU WN WA MZOGA NY SS HV NI MZOGA UNAOTEMBEA. MUNGU KESHAMALIZA KZ KITAMBO UNASUBIRIWA MUDA WK TU ATEMBEEHuyo mama namuonea bure ukuskia anasema ana boss wake? Lissu anaweza kutoka mzima shughuli ikaishia akiwa nje kama JBL hii ina uhuni mwingi sana