Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

Heche umefikia wapi na No reforms no election?
 
Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Jambo la afya ata leo ukipimwa unayo afya nzuri kesho yake unaweza kupimwa ukakutwa na tatizo la kiafya.
 
Wewe siyo Mkristo. Halafu mwongo kama yule Pastor Tony wa kujaza gesi.

Kwa taarifa yako HAKUKUWA na Wakristo kabla ya Yesu kuzaliwa. Wakristo wameanza baada ya Yesu kufa na kupaa mbinguni.

Warumi waliwatundika wakristo msalabani pale walipokuwa wanamhubiri na kumshuhudia Yesu Kristo kuwa ni mwana wa Mungu
Sawa mchungaji
 
Back
Top Bottom