Ku-declare kuanzisha uasi kumbe nayo ni hoja? Wanadeal naye kama katiba na sheria zinavyotaka.Wamezoea njia rahisirahisi za kudeal na upinzani, sasa wanapotakiwa kusimama hoja kwa hoja akili yao inawatuma kumuondoa mwenye hoja kinzani badala ya kudeal na hoja zenyewe!
Mungu atatenda, Mungu mwenye nguvu Baba wa MileleKwanza sasa hivi analindwa ipasavyo kwasababu kelele za kutendwa ubaya zilianza kabla
Kwa mashahidi wasiojulikana.....Hahaha.Ku-declare kuanzisha uasi kumbe nayo ni hoja? Wanadeal naye kama katiba na sheria zinavyotaka.
Alitutangazia yeye mwenyewe hadharani. Ebu msikilize vizuri hapa, anakiri wazi kabisa bila kumng'unya manenoKwa mashahidi wasiojulikana.....Hahaha.
Kesi imeshaisha kabla haijaanza
AmeeenMungu ampe afya njema Tundu Antipas Lissu. Hutokea mara moja katika karne kuwa na mtu mwenye uthubutu wa kama huyu mpambanaji.
Huyo hata ukimpeleka shule ya vichaa usije ukimpeleka shule ya vichaa watu wazima, huyo inatakiwa apelekwe shule ya vichaa ya watoto wa chekechea... maubongo yake hayana akili ni useless yamebaki tu kuwa manyama nyama tu.Hii akili hata mbwa hana
Wewe siyo Mkristo. Halafu mwongo kama yule Pastor Tony wa kujaza gesi.Ili chu
Warumi waliwatundika wakristo msalabani, mpaka akazaliwa yesu kristo, Samia atusaidie tuipate chuki yenye uhalisia dhidi ya wenye nguvu, history is hostile, nchi itamkumbuka kama mama aliyechagiza uwepo wa demokrasia, Kwa kuwa mwanamke mbabe na mwenye nguvu,
.
Ahsante nawasilisha
Kwahiyo wale walioshangilia kule Kijiji kongwa ni cdm?Wakifa wengine chadema mnashangilia, akifa wenzenu mnakuja kulialia hapa 😂
Eti wewe ni Kinembe? 🤣🤣🤣🤣🤣Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Mimi chiembe, hujaelewa nini KubwaJinga?Eti wewe ni Kinembe? 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa watanganyika wa leo hakuna lolote.ila ikitokea T. Lissu amedhulika yy na mtandao wake wataikimbia hii nchi, huwezi ukafananisha mapenzi yetu na T.Lissu na huyo Ndungai
Jibu swali vizuri we KINEMBEMimi chiembe, hujaelewa nini KubwaJinga?
walipewa 4R wakajidai wanataka uwanaharakati sasa hivi tena wanaanza kilioKamanda Heche acha kulia lia wewe na Lissu miliamua kufanya siasa za mapambano na mkasema wazi hamugopi jela kama alifungwa Mandela sembuse sisi, mmekataa maridhiano na mkasema mtaakikisha uchagazi haufanyiki, sasa mlitaka serikali ifanyaje baada ya kauli zenu mara mtakinukisha.