Nyie endeleeni kuwa busy na Polepole. Msilete uzushiAmeandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Wewe chekelea tu, kumpa mtu kesi ya uhaini nayo ni siasa?.Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Inasikitisha sanaNdo kinaenda kutoa Lissu akitoka namshauri aende zake hospital za nje akacheck afya
Atawalaza Kama anavyowalazagaKwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini
Amekunywa pombe gani leo?Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Wamezoea njia rahisirahisi za kudeal na upinzani, sasa wanapotakiwa kusimama hoja kwa hoja akili yao inawatuma kumuondoa mwenye hoja kinzani badala ya kudeal na hoja zenyewe!
Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hal
Wahuni wamemzidi nguvu,huyu Mama ni Mzanzibari lakini anatunyanyasa cc
TUNAKAMATAKwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini
Tayari uongozi wa CDM walishataarifiwa mapema kupitia jumbe fiche humu kwenye jukwaa kwamba kuna mtu alitumwa kutoka Dom mwenye nasaba na ukuta mrefu ili kumwondoa TAL kwa kutumia uchawi wa kizungu bila yeye kufahamu. Walishataarifiwa mapema kwamba waagize chip inayonasa sura mjongeo, mnato, sauti na kutuma yenyewe kupitia satelaiti sijui kama walifanya hivyo. ama la. Tangu TAL alipotoa taarifa kwamba ananyanyaswa kwenye ukuta mrefu kwa kuwekwa kwenye kamba ya kuzimu walimbadilisha kwa siku kadhaa lakini baadae alirejeshwa huko. Kwenye chumba kisicho na matumaini aliingizwa mtu ambaye ni kama stahiki ya yeye kuwemo humo lakini kumbe ndiye wakala aliyetumwa kutekeleza agano ovu. Inawezekana tayari huyo wakala aliyeingizwa chumba hicho ameondolewa kwa madai anahamishiwa chumba giza kingine ya ukuta mrefuAmeandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Kamzike kwanza Mgogo mwenzakoLissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu