Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

Hii Tanganyika yetu inasikitisha sana, huyu Mama ni Mzanzibari lakini anatunyanyasa cc pasipo na sababu ya msingi, ila ikitokea T. Lissu amedhulika yy na mtandao wake wataikimbia hii nchi, huwezi ukafananisha mapenzi yetu na T.Lissu na huyo Ndungai walichomfanyia.
 
Inauma sana
 
Huyo mama namuonea bure ukuskia anasema ana boss wake? Lissu anaweza kutoka mzima shughuli ikaishia akiwa nje kama JBL hii ina uhuni mwingi sana
 
Wamuachie tu, isije wakavuna laana na regime yao kuonekana imemfanyia kitu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…