Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mother hajawahi kumsema Heche ni Mkenya
Binadamu wakikosa hoja ya ubaya wa mtu au wakielemewa na wivu na husda dhidi ya mtu hujificha katika kushambulia umbile na mwonekano wake. Hayati Shabaan Robert alilieleza hili akimuelezea Siti Binti Saad kama nilivyomnukuu kwenye kiambatisho.Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Kawaida ya waropokaji
Kusema Samia ni mzanzibari kwako ni MAONI?
Kusema Samia ni mwanamke kwako ni MAONI?
Mkuu kalale na HECHE
Ukweli usemwe hapa Heche kapuyanga yeye angejenga hoja ila sio uzanzibar na uwanamke kapuyanga saanaaaaHuyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
We unatakaje kwahyoHuyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Kwamba wewe unaamini Samia siyo mwanamke?Hawana haki ya kutoa maoni ya kibaguzi na yanayo hatarisha umoja wa kitaifa kama wapi Rais anatoka, mwanamke n.k.
Mbona mke wako umemtolea mahali na anakutukana akikutana na mashikaji we vipi chalii Fanya YakoHuyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Kuna kitu umekiongea vibaya kwenye hoja yako.Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Mbuzi kala mkeka,Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine