Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine

Binadamu wakikosa hoja ya ubaya wa mtu au wakielemewa na wivu na husda dhidi ya mtu hujificha katika kushambulia umbile na mwonekano wake. Hayati Shabaan Robert alilieleza hili akimuelezea Siti Binti Saad kama nilivyomnukuu kwenye kiambatisho.
FB_IMG_1736696856625.jpg
 
..Maza aliwahi kusema Mbowe ni gaidi, kitu ambacho uongo.
Mbowe alipelekwa mahakamani na akapatikana na kesi ya kujibu- hakujitetea na wala hakujibu na hajashinda kesi HIVYO Mbowe ni gaidi
 
Kwhy chama chao hakina wanzanzibar?..ndo mana'ke maalim Seif aliwakwepa
 
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine

Kuna kitu umekiongea vibaya kwenye hoja yako.
Heche kama ni Heche kweli anaongelea strengths na weaknesses za Samia.

Nani asiyejua kwa Tanzania ya leo mgombea mwanamke ana nafasi Ndogo kushinda kuliko mwanaume kama mambo mengine yote wanafanana?

Hivyo hivyo Samia kuwa Mzanzibar ni weakness kwenye uraias wa Tanzania. Ni sawa na mtu aseme Mbowe kuwa mchaga ni tatizo kwenye Urais.

Misogyny ni kitu tofauti kabisa. Hedge anaongelea facts zilizopo na hata wewe Unajua.
 
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine

Mbuzi kala mkeka,

Sasa siasa za kupeana pesa na ushawish mbona ndio siasa za nchi yetu toka uhuru?

Heche anataka kusema akipewa umakamu ndio watu wataendelea kusafiri kwa shida?

Kwamba wao wakiwa viongoz CDM ndio watashinda uchaguzi mkuu?

Game sio rahisi hivyo
 
..wewe ndio mropokaji, unabisha kwamba Maza sio Mzanzibari, na mwanamke.
Tulipaswa kuambiwa na hasa kuambiwa kuwa huo wasifu unamfanya asiwa na sifa ya kuchaguliwa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom