Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali".

Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, Heche ameeleza kuwa vita inayoelekezwa kwake binafsi na kwa chama chake inatokana na msimamo wao thabiti wa kukataa kuwa mawakala wa unyonyaji.

“Hii serikali haipaswi kuwa madarakani siyo leo. Jana ilipaswa iwe imeondoka madarakani na ndio maana wanapoona watu hatutaki kufanya siasa za udalali tunapigwa vita kweli kweli,” ameongea Heche huku akiwataka wananchi kusimama imara na kukataa kuyumbishwa.

Heche ameeleza kuwa kukataa kwao "udalali" kumezua hofu kubwa kwa watu ambao amewataja kuwa wamekuwa wakimshambulia kwa maneno kila wanapopata fursa akisema, “Ukisikia kila siku waziri akitokea huku, ‘Heche tu, Heche, Heche!’... Kwa nini? Kwasababu tumekataa udalali. Sema kataa udalali!”.

Chanzo: Jambo TV
 
View attachment 3655693Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali".

Shikilia hapo hapo mheshimiwa Heche
 
mwanasiasa ukiona haupigwi vita ujue wewe ni kimeo.
wanasiasa wote wenye misuli wanapigwa vita
kwa mifano tu
Freeman Mbowe
Tundu Lisu
John Heche
Zito Kabwe
Samia suluhu hassani
emanueli nchimbi
januari makamba
 
Mungu atakulinda Mh Heche
 
unapigwa vita chadema kwasababu wewe ni fisadi wa pesa za chadema.full stop 🐒
 
Wambieni hao madalali hivi: Chuki na ukatili hauwezi kushinda haki.
 
Hii Jambo TV ni zaidi ya ile television ya pale Bamaga
 
Heche hizi kauli zako wali aziwezi kuipeleka CHADEMA mbali ata siku mmoja. Siasa unayoifanya gutter politics sio issue in modern politics.Siasa ya hivi ilikua inafaha sana wakati wa kupigania uhuru nasio baada ya uhuru. Lakini pia usifikiri kua watu wote ni wajinga,unachokifa ndicho inabidi ufanye ili ubaki kwenye midomo ya watu na media basi maana ndiyo kazi inayokuingizia kipato.
Mwisho,kukataa kwako kufanya siasa za maridhiano na kuelewa kumbuka akuwezi kuwafanya walioko madarakani kuumia wala kutoka kwasasa wewe unawapa njia ya kutatu changamoto zilizopo huku wananchi wakiendelea kulipa kodi na mambo mengine kuendelea.
MUNGU NI MWEMA
 
mwanasiasa ukiona haupigwi vita ujue wewe ni kimeo.
wanasiasa wote wenye misuli wanapigwa vita
kwa mifano tu
Freeman Mbowe
Tundu Lisu
John Heche
Zito Kabwe
Samia suluhu hassani
emanueli nchimbi
januari makamba
Umewaza vizuri ndugu...ata yeye anampiga vita Mh.Rais na mwenyekiti wa CCM aah
 
SIKU ZOTE UKISIMAMA KWEYE UKWELI NA HAKI LAZIMA UPINGWE
ndivyo ilivyo hata kwa manabii na watumishi wa Mungu wa kweli.
Hata katika kumbukumbu ya historia manabii wote wa Mungu wa kweli ,WALICHUKIWA,WALISHAMBULIWA WALIFUNGWA MAGEREZANI,WALITESWA,WALIUWAWA
Kwa sababu UKWELI UNAUMA

UKiona mtu ana jiita nabii au mtume au mtumishi wa Mungu au anajiita mtetezi wa HAKI na anajiita msema KWELI halafu akawa anapendwa na wale wenye DHAMBI mafisadi majizi,wauwaji,wasema uongo,wazinzi,wezi wazinzi walq rushwa,waongo..na WAFALME wasiotenda haki.
UKIONA anapendwa na yupo karibu ama anapokea na zawadi na pesa zao hao wenye dhambi wanamsifu na kumshangilia UJUE kuna WALAKINI hapo ,SIO SAWA.

NABII WA KWELI WA MUNGU mtetezi wa HAKI na msimami UKWELI siku zote LAZIMA ACHUKIWE NA WATU WAOVU NA APINGWE NA PENGINE HATA KUTAFUTA KUMNYAMAZISHA IKIBIDI KUMUUA KABISA.

unaposimamia ukweli na haki jua kabisa tegemea kupata maadui wa kukuchukia hasa wasiopenda haki na ukweli..
angalia manabii wote wa Mungu wa kwenye biblia wote walipitia mateso kwa kusimamia ukweli na haki.

angalia wanasiasa katika hostoria wote waliotetea haki na ukweli
NELSON MANDELA
n.k
 
Back
Top Bottom