Heche akiamka ni Samia,baada ya chai Samia,baada ya chakula Samia,jioni Samia,usiku Samia daah .Yaani politics of issues ilikufa kitamboTlaaatlah na Mwashwamba wakiamka ni Heche, Wasira ni Heche , Heche amekuwa ni tishio😁
Mtoe Lisu na Heche hapo kwenye hiyo list yako wa wahuni.mwanasiasa ukiona haupigwi vita ujue wewe ni kimeo.
wanasiasa wote wenye misuli wanapigwa vita
kwa mifano tu
Freeman Mbowe
Tundu Lisu
John Heche
Zito Kabwe
Samia suluhu hassani
emanueli nchimbi
januari makamba
Boss, hiyo ni list yangu, sio msaafu.Mtoe Lisu na Heche hapo kwenye hiyo list yako wa wahuni.
Mkuu kwanini usijifunze kwanza kuandika kwa ufasaha kisha uje huku jukwaani? Uzuri sasa hivi elimu ni bure, unakwama wapi?Heche hizi kauli zako wali aziwezi kuipeleka CHADEMA mbali ata siku mmoja. Siasa unayoifanya gutter politics sio issue in modern politics.Siasa ya hivi ilikua inafaha sana wakati wa kupigania uhuru nasio baada ya uhuru. Lakini pia usifikiri kua watu wote ni wajinga,unachokifa ndicho inabidi ufanye ili ubaki kwenye midomo ya watu na media basi maana ndiyo kazi inayokuingizia kipato.
Mwisho,kukataa kwako kufanya siasa za maridhiano na kuelewa kumbuka akuwezi kuwafanya walioko madarakani kuumia wala kutoka kwasasa wewe unawapa njia ya kutatu changamoto zilizopo huku wananchi wakiendelea kulipa kodi na mambo mengine kuendelea.
MUNGU NI MWEMA
Nimekushangaa kusoma na kuelewa kitu ambacho kimeandikwa kwa makosa... au wewe ndiye unakosea kuelewa na kusoma.Mkuu kwanini usijifunze kwanza kuandika kwa ufasaha kisha uje huku jukwaani? Uzuri sasa hivi elimu ni bure, unakwama wapi?
Heche hizi kauli zako wali aziwezi kuipeleka CHADEMA mbali ata siku mmoja. Siasa unayoifanya gutter politics sio issue in modern politics.Siasa ya hivi ilikua inafaha sana wakati wa kupigania uhuru nasio baada ya uhuru. Lakini pia usifikiri kua watu wote ni wajinga,unachokifa ndicho inabidi ufanye ili ubaki kwenye midomo ya watu na media basi maana ndiyo kazi inayokuingizia kipato.
Mwisho,kukataa kwako kufanya siasa za maridhiano na kuelewa kumbuka akuwezi kuwafanya walioko madarakani kuumia wala kutoka kwasasa wewe unawapa njia ya kutatu changamoto zilizopo huku wananchi wakiendelea kulipa kodi na mambo mengine kuendelea.
MUNGU NI MWEMA
Nimeshindwa kuelewa ulichoandika ndio maana nikakupa ushauri urudi shule. Na uzuri sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio. Aibu ndogo dogo kama hizi zinaepukika ukiwa msikivu.Nimekushangaa kusoma na kuelewa kitu ambacho kimeandikwa kwa makosa... au wewe ndiye unakosea kuelewa na kusoma.
Mzee wa Machame alituchelewesha sana kwa UDALALI wake.View attachment 3655693Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesemila wanapopata fursa akisema, “Ukisikia kila siku waziri akitokea huku, ‘Heche tu, Heche, Heche!’... Kwa nini? Kwasababu tumekataa udalali. Sema kataa udalali!”.
Chanzo: Jambo TV
Sawa mwenye akilimeter..hao wote wapo kazini... Heche maisha yake ni Siasa bila Siasa kwake maisha yanakua ayana maana.Sindikiza ndoto za wenzako mkuuWewe kweli punguani wa akili na dhamira!!
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mkweli nawaminifu kwa nafsi yake, anayeweza kufanya maridhiano na mwovu kwaajili ya kuhalisha uovu. Heche na Lisu ni watu wenye viwango vya juu vya akili, siyo punguani na wafu wa nafsi kama jlivyo wewe ambaye hata ukirushiwa tu kipande cha nyama, akili inakupotea.
Umeshindwa kuelewa nilicho andika kwakua uwezi kuelewa ..sasa shida inatokea wapi mkuu?Nimeshindwa kuelewa ulichoandika ndio maana nikakupa ushauri urudi shule. Na uzuri sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio. Aibu ndogo dogo kama hizi zinaepukika ukiwa msikivu.
Umeshindwa kuelewa nilicho andika kwakua uwezi kuelewa ..sasa shida inatokea wapi mkuu?Nimeshindwa kuelewa ulichoandika ndio maana nikakupa ushauri urudi shule. Na uzuri sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio. Aibu ndogo dogo kama hizi zinaepukika ukiwa msikivu.
Nchi hii kuna watu wanajipa umuhimu ambao hawana. Wanataka wengine wawajibike wakati wao hawataki kuwajibika, wanawahoji wengine ila wao wakihojiwa inaonekana wanaandamwa.View attachment 3655693Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali".
Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, Heche ameeleza kuwa vita inayoelekezwa kwake binafsi na kwa chama chake inatokana na msimamo wao thabiti wa kukataa kuwa mawakala wa unyonyaji.
“Hii serikali haipaswi kuwa madarakani siyo leo. Jana ilipaswa iwe imeondoka madarakani na ndio maana wanapoona watu hatutaki kufanya siasa za udalali tunapigwa vita kweli kweli,” ameongea Heche huku akiwataka wananchi kusimama imara na kukataa kuyumbishwa.
Heche ameeleza kuwa kukataa kwao "udalali" kumezua hofu kubwa kwa watu ambao amewataja kuwa wamekuwa wakimshambulia kwa maneno kila wanapopata fursa akisema, “Ukisikia kila siku waziri akitokea huku, ‘Heche tu, Heche, Heche!’... Kwa nini? Kwasababu tumekataa udalali. Sema kataa udalali!”.
Chanzo: Jambo TV
Akili kubwa sanaNchi hii kuna watu wanajipa umuhimu ambao hawana. Wanataka wengine wawajibike wakati wao hawataki kuwajibika, wanawahoji wengine ila wao wakihojiwa inaonekana wanaandamwa.
Kama kweli ana huo umuhimu anaojipa basi akubali kuwajibika.
Mfano wa Wapinzani halisi ni Kiongozi wa Chama cha Reform UK baada ya tuhuma kwamba alipokea zawadi ambazo akudeclare akaamua kujiuzulu ubunge ili wananchi wamhukumu. Ulivyohitaishwa uchaguzi vyama vingine vikasusa wakamwekea Bin agombee nalo akashinda.
Tuacheni hizi siasa za maneno mengi na misemo mingi ambayo haina athari chanya kwa maisha ya watanzania.
Hivi Mkuu unaposema Siasa za Maridhiano unamaanisha nini?Heche hizi kauli zako wali aziwezi kuipeleka CHADEMA mbali ata siku mmoja. Siasa unayoifanya gutter politics sio issue in modern politics.Siasa ya hivi ilikua inafaha sana wakati wa kupigania uhuru nasio baada ya uhuru. Lakini pia usifikiri kua watu wote ni wajinga,unachokifa ndicho inabidi ufanye ili ubaki kwenye midomo ya watu na media basi maana ndiyo kazi inayokuingizia kipato.
Mwisho,kukataa kwako kufanya siasa za maridhiano na kuelewa kumbuka akuwezi kuwafanya walioko madarakani kuumia wala kutoka kwasasa wewe unawapa njia ya kutatu changamoto zilizopo huku wananchi wakiendelea kulipa kodi na mambo mengine kuendelea.
MUNGU NI MWEMA
Mbona huko UK walionesha ushahidi mkuu, sasa ukisema flani amekula pesa bila kuonesha ushahidi hiyo nayo inakuwa tuhuma?Nchi hii kuna watu wanajipa umuhimu ambao hawana. Wanataka wengine wawajibike wakati wao hawataki kuwajibika, wanawahoji wengine ila wao wakihojiwa inaonekana wanaandamwa.
Kama kweli ana huo umuhimu anaojipa basi akubali kuwajibika.
Mfano wa Wapinzani halisi ni Kiongozi wa Chama cha Reform UK baada ya tuhuma kwamba alipokea zawadi ambazo akudeclare akaamua kujiuzulu ubunge ili wananchi wamhukumu. Ulivyohitaishwa uchaguzi vyama vingine vikasusa wakamwekea Bin agombee nalo akashinda.
Tuacheni hizi siasa za maneno mengi na misemo mingi ambayo haina athari chanya kwa maisha ya watanzania.
Maana yangu ni Siasa za kukubaliana,kuheshimiana,kusikilizana,kushirikiana,kushauriana,kujengana nk ndiyo maana halisi ya Siasa za maridhiano. KaribuHivi Mkuu unaposema Siasa za Maridhiano unamaanisha nini?
Ni yupi amekataa kumsikiliza yupi? Au maridhiano yanaanza mwaka 2026?Maana yangu ni Siasa za kukubaliana,kuheshimiana,kusikilizana,kushirikiana,kushauriana,kujengana nk ndiyo maana halisi ya Siasa za maridhiano. Karibu
Kuna shida maana maridhiano sio kua wewe unataka hiki na kile na lazma kikubaliwe...ukifikia huko hamna maana ya maridhiano.Ingawa najua na ninayo imani kua watu wanafanya hivyo ili wasipotee kwenye political mediaNi yupi amekataa kumsikiliza yupi? Au maridhiano yanaanza mwaka 2026?