We ni mjinga mmoja usiye elewa kitu, unakurupuka kujibu mambo yaliyo juu ya fikra na uwezo wako kiakili, mambo unayoweza ni kusifia ujinga ujinga kwenye issue clitical kama hizi acha kutia mkuu si za level zako, nije kwenye Mada;suala la mafuta ni suala la Dunia,ni suala ambalo limeathiri muenendo wa Bei Dunia nzima na katika soko la Dunia. Ni suala ambalo limegusa Mboni za wakubwa wote . Ni suala ambalo hata asiye na akili anajua kuwa nini kimesababisha kupanda kwa nishati hiyo muhimu.
Lucas Mwashambwa unaelewa lakini?Kwa tunavyokufahamu, jinsi kiwango cha akili yako inapoishia, ulichoandika hakishangazi. Tunakufahamu wewe ni mgonjwa wa akili na nafsi. Uwezo wako wa akili ni mdogo sana, haufikii hata 1% ya uwezo wa akili ya Heche. Heche hapigi riwaya za kiwendawazimu kama hizi za kwako. Yeye alikuja na data za kuonesha mafuta yamepanda kwa asilimia ngapi kwenye soko la Dunia, na nchini yamepandishwa kwa asilimia ngapi. Hakubwabaja kama wewe punguani. Pole sana kwa kukosa maana katika jamii.
Usituandikie ujinga wako hapaNdugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka ndani ya CHADEMA.
Imedhihirika ni kwanini CHADEMA imepoteza mvuto ,kukosa uungwaji mkono na kukimbiwa na vijana na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema. Imejidhihirisha ni kwanini hakuna mwenye akili Timamu anayejitokeza hadharani na kuiunga mkono CHADEMA.
Huwezi kuwa na kiongozi aina ya John Heche kipofu, mwenye upeo mdogo ,aliyekosa maarifa na uelewa wa masuala nyeti na muhimu akawa kiongozi halafu utegemee chama kupata mafanikio na kuwa na Dira na muelekeo unaoeleweka. John Heche hakuwa na hana uwezo wala sifa za kuwa kiongozi kuongoza Watu wenye kujitambua. Ni vile tu CHADEMA imekosa watu wenye akili za kiuongozi na kuweza kuongoza na ndio maana akajikuta anapata nafasi ya kuongoza kundi la wenye upeo mdogo, wasio na maarifa wala upeo wala uelewa zaidi ya Uropokaji,ukurupukaji na mihemko tu utafikiri wavuta Bangi ama walevi wa gongo.
Ndugu zangu Watanzania suala la mafuta ni suala la Dunia,ni suala ambalo limeathiri muenendo wa Bei Dunia nzima na katika soko la Dunia. Ni suala ambalo limegusa Mboni za wakubwa wote . Ni suala ambalo hata asiye na akili anajua kuwa nini kimesababisha kupanda kwa nishati hiyo muhimu.
Siyo serikali yetu ya CCM ama chama chetu cha Mapinduzi Tumaini la watanzania kilichopandisha bei. Wala hakuna mfanyabiashara yeyote yule alipanga bei na kuipandisha kwa ajili ya kujipatia Faida ama kuumiza watanzania. Serikali yetu ipo makini na ipo karibu katika kufuatilia jambo hili. Kwa sababu mafuta ndio injini ya Uchumi na Kichocheo cha kila sekta . Ndio kichocheo cha ustahimilivu wa bei za bidhaa nyingi sana. Ni Bidhaa inayogusa kila kitu ambapo inao uwezo wa kuathiri uchumi wa Nchi na bei ya kila bidhaa.
Ndio sababu serikali yetu chini ya uongozi shupavu,makini na madhubuti wa Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan imekuwa makini sana kusimamia bei zake na kutoa maelekezo na Bei elekezi. Hakuna mwanya wa mtu yeyote yule anayeweza kuhujumu bei za mafuta na kupandishaa bei kwa maslahi yake Binafsi.
Suala la mafuta ni sehemu ya usalama wetu wa Taifa. Bila mafuta hakuna usalama ndani ya Taifa. Kwa sababu Kila kitu kitavurugika.
Hivyo mtu kama Heche anapotokea zake huko na mavitu yake kichwani aliyobugia anakuja na kuanza kuropoka bila ushahidi ni lazima watanzania tuwe wakali na tumkemee sana kwa sababu ni adui wa Taifa letu na mwenye lengo la kuleta uchochezi,mtafaruku ,na uchonganishi. Inaonyesha ni mtu asiye na taarifa ama umbumbumbu umemjaa kichwani ama amekwenda kuongea akiwa kavurugwa akili ama kwa matumizi ya vileo vikali.
Watanzania endeleeni Kumpuuza Heche na msimsikilize kabisa ujinga wake huo usio na mashiko wala ukweli wa aina yoyote ile. Vyombo vya dola vichukue hatua kali dhidi yake ya kumkamata na kumhoji ili athibitishe uongo na uzushi wake huo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pia soma: Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei
Unaweza kuleta ushahidi wa namna wafanyabishara walivyopandisha bei kama alivyosema huyo mropokaji na mkurupukaji wenu John Heche? Unaweza kueleza ni vipi serikali yetu imeongeza bei ya mafuta kwa kushirikiana na wafanyabishara kama alivyoropoka huyo Mbwatukaji wenu Heche ?We ni miinga mmoja asiye elewa kitu, unakurupuka kujibu mambo yaliyo juu ya fikra zako;
Ni kweli kabisa kwamba suala la bei ya mafuta ni la kimataifa na limeathiri masoko ya dunia nzima kutokana na sababu kama migogoro ya kisiasa na hasa vita Baina ya USA Vs Iran, uzalishaji na mwenendo wa uchumi wa dunia.
Pamoja na ukweli huo, bado kuna nafasi ya hatua za ndani ambazo zinaweza kuchukuliwa kupunguza athari kwa wananchi.
Bei ya mafuta nchini Kwenye Vituo vya mafuta haijumuishi gharama ya kununua kutoka soko la dunia FOB& CIF lkn pia inabeba mzigo wa kodi na tozo mbalimbali kama Fuel Levy, VAT, tozo za EWURA, michango ya REA, Railway Development Levy na nyinginezo.
Katika kipindi hiki cha kupanda kwa bei, si lazima tozo zote ziendelee kubaki kama zilivyo; baadhi zinaweza kupunguzwa au kusitishwa kwa muda ili kutoa unafuu kwa wananchi. Hatua kama hizi zinaweza kusaidia kupunguza mfumuko wa bei, kushusha gharama za usafiri na hatimaye kupunguza gharama za maisha kwa ujumla. Kwa hiyo, ingawa chanzo cha tatizo ni la kimataifa, suluhisho la kupunguza athari zake kwa wananchi linaweza na linapaswa kuanza ndani ya nchi kupitia sera rafiki za kodi na tozo.
Ungeacha wenye akili timamu na wanaojitambua wajadili hojaUsituandikie ujinga wako hapa
Ebu tuondolee u ccm yako hapa
Wapi wapi? Unaweza wataja na kuweka ushahidi wako namna walivyopanga na kupandisha Bei?Kwa hiyo hakuna ma-cartel?
Huyo Lukas namwitaga K.enge asiye na akili. Jamii Forums imefungiwa, anaingia kwa VPN kuja kuwasifia na kuwatetea walioifungia isipatikane Tanzania, huyo ni binadamu wa kawaida!?,halafu anasema Heche ana upeo mdogo, anasahau yeye hana upeo wowote, hata walipouawa ndugu zake Mbeya October mwaka jana alikuja hapa kupongeza.
Mimi nimekujibu criteria zinazosababisha bei kuwa hivyo internally kama Taifa linaweza kufanya relief kwa bei za mafuta. Jikite kwenye hoja yangu huo ujinga wako upeleke kwa wajinga wenzioUnaweza kuleta ushahidi wa namna wafanyabishara walivyopandisha bei kama alivyosema huyo mropokaji na mkurupukaji wenu John Heche? Unaweza kueleza ni vipi serikali yetu imeongeza bei ya mafuta kwa kushirikiana na wafanyabishara kama alivyoropoka huyo Mbwatukaji wenu Heche ?
Wapi wapi? Unaweza wataja na kuweka ushahidi wako namna walivyopanga na kupandisha Bei?
Inatakiwa akamatwe na kutupwa ndani kwa uchochezi
Unatafuta nini jamii forums kwa VPN!?,waambie unaowasifia waifungulie, ilipofungiwa wenzako wenye akili walikaa kimya mpaka leo. Kuingia humu kwa mlango wa nyuma kusifia waliotufungia ndo upumbavu wenyewe. Hivi unatumia nini kufikiri!?Acheni uzushi , uongo na uchonganishi hapa. Watanzania siyo wajinga kama mlivyo ninyi.
ila hii Nchi jamani dah!! eti Niffer Mhaini? Polisi wetu sijui wameishia std 3BKama akina Niffer walipewa uhaini
SijuiUnaweza kuleta ushahidi wa namna wafanyabishara walivyopandisha bei kama alivyosema huyo mropokaji na mkurupukaji wenu John Heche? Unaweza kueleza ni vipi serikali yetu imeongeza bei ya mafuta kwa kushirikiana na wafanyabishara kama alivyoropoka huyo Mbwatukaji wenu Heche ?
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaMwashambwa asamehewe, sidhani kama ni mzima. Magonjwa ya akili ndivyo yalivyo, pamoja na matatizo aliyo nayo, atakuwa anaamini ana akili timamu!!
Wewe unatafuta nini humu jukwaani?Unatafuta nini jamii forums kwa VPN!?,waambie unaowasifia waifungulie, ilipofungiwa wenzako wenye akili walikaa kimya mpaka leo. Kuingia humu kwa mlango wa nyuma kusifia waliotufungia ndo upumbavu wenyewe. Hivi unatumia nini kufikiri!?
Weka ushahidi na siyo kurukaruka.chawa wewe hata ukiwekewa facts kuna kitu utaelewa?
ushauza nafsi yako kwa shetani
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka ndani ya CHADEMA.
Imedhihirika ni kwanini CHADEMA imepoteza mvuto ,kukosa uungwaji mkono na kukimbiwa na vijana na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema. Imejidhihirisha ni kwanini hakuna mwenye akili Timamu anayejitokeza hadharani na kuiunga mkono CHADEMA.
Acheni uzushi , uongo na uchonganishi hapa. Watanzania siyo wajinga kama mlivyo ninyi.
Tangia lini Heche akawa na akili kichwani zaidi ya Uropokaji na ukurupukaji.
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu wa