Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Wenye akili tumewaona kwenye deni la taifa
Nchi Gani isiyodaiwa.Huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kulipa. Tunakopeshwa na siyo hisani na tunakopesheka kwa sababu tuna uwezo wa kulipa Madeni yetu.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumkopesha mtu anayejua kuwa hana uwezo wa kulipa Deni lake.
 


Ni kweli tumeona faida ya mikopo kwenye madaraja ya bilion 2,

Kibanda cha mlinzi cha bati milion 7 haha

Kweli mnakopa kwa matumizi bora
 

Attachments

  • Screenshot_20260406-224822_Samsung Internet.jpg
    218.5 KB · Views: 18
Ushabiki mwingine ni wa kipumbavu sana.mtu matoa hoja nzuri halafu wewe unaleta Ushabiki wa ukichaa.
 
Ushauri wa bure,

Endelea kububujwikwa na machozi ya furaha kwa Samia kupungia wananchi mkono au Bashite kuvaa jeans iliyomtoa shepu.

Huna upeo hata chembe wa kuweza kumjadili Heche. He is beyond you.
Heche is behind thousands of km not beyond someone
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini
Sasa mbona mmemfukuza kazi aliyetangaza bei mpya? Mlisema mafuta ya Akiba yapo yalikuja kwa bei ya zamani na yalikuwepo ndani ya shell mbalimbali sasa bei ikapanda wanauza kwa bei mpya kwa mzigo wa zamani, Lukas hata kama unasaka Uteuzi ebu jaribu kuwa na hofu ya mungu kidogo usijitoe ufahamu kwa kiwango hicho
 
Acheni uzushi , uongo na uchonganishi hapa. Watanzania siyo wajinga kama mlivyo ninyi.
Usiwasemee watanzania kwani siyo wapumbavu kama wewe msaka nyoka hata kama ni uchawa sasa huu wako umezidi kiwango, mafuta yalikuwepo Akiba leo unataka kuuza kwa bei mpya mafuta ya zamani kweli? hata kama unasaka uteuzi Usijitoe fahamu kwa kiwango hiki
 
Lukas ana mtindio wa ubongo siyo mzima
 
Sasa wewe Lukas upo kwa wenye Akili kweli ? Kuna mtu kakuambia una Akili? anayekuona una Akili atakuwa mwehu, Lukas ebu waonee huruma watanzania acha kujitoa fahamu kisa unasaka uteuzi kwa njia haramu
 
Serikali wanatafuta ufumbuzi wa tatizo ndiyo maana wamemtumbua aliyetangaza bei mpya cha ajabu Lukas kaja na yake ya kusaka uteuzi badala atoe mtizamo chanya wa kulikabili janga la kupanda bei ya mafuta
 
Lukas ushauri wa bure zipo meli nyingi za mafuta ya Urusi china India Nigeria Angala libya huko baharini ongea nao wana mafuta ya bei nafuu hapo utaonekana mtu wa maana kuliko kukaa kupanga kuwaumiza watu kisa wametoa kilio chao
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini
Hujitambu wewe.
Heche anasema na anaomba Serikali ipunguze kodi au tozo zilizoko kwenye mafuta.
Kwani bei ya mafuta imejaa tozo au kodi nyingi ambayo kwa serikali inayojali maisha ya watu wake kwa kipindi kama hichi Serikali inachukua maumivu na kupunguza gharama na matumizi sehemu zingine n akuchukua hatua ya kupunguza tozo ili kutoa unafuu wa maisha ya watu wake.
Na sio kweli kila nchi mafuta yamepanda..! Nchi zingine serikali imechukua hatua kama hizo kupunguza tozo au kodi na bei iko kama zamana..
Tatizo lenu ni ushabiki tuu..!
Haya ni maisha na sio Simba na Yanga bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…