Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Sasa wewe Lukas upo kwa wenye Akili kweli ? Kuna mtu kakuambia una Akili? anayekuona una Akili atakuwa mwehu, Lukas ebu waonee huruma watanzania acha kujitoa fahamu kisa unasaka uteuzi kwa njia haramu
Acheni uzushi na uongo
 
Bei ya mafuta ya Tanzania ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine nyingi sana. Kwa hiyo lazima upongeze juhudi za serikali. Na lazima ufahamu ya kuwa serikali inaendelea kufuatilia suala hilo kwa ukaribu sana
 
Hivi mna akili kweli ?
Wewe kwa sasa ulishapuuzwa . Wewe si ndiyo ulikuwa unawadanganya Watu na vihabari vyako vya uongo na uzushi? Wewe si ndiyo ulileta uzushi kubwa Mwamba wa Arusha amekufa kwa kulishwa sumu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini C
Cheki hili dubwasha

Kwa hiyo kwa jirani kukiwa na njaa

Na kwako pia kuwe na njaa na unafurahia bila shida yoyote kuna tumia akili.

KInachokosekana ni serikali kutopenda wananchi wake over.
Ingewapenda hizo kodi zaidi ya 18 zina faida gani wakati gharama za maisha zinapanda
Na kudhibitisha hili kumbuka 29
 
Ondoa hapa Ujinga wako hapa. Kwani serikali ndio imepandisha Bei ya Mafuta Duniani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHA
Fanyieni kazi uongo wake mlete majibu sahihi...
Boss wa EWURA alisema akiba ya mafuta ipo hadi June/July. Mkamtumbua bila sababu za msingi!

Swali la msingi; kwanini bei ziongezeke kwa akiba iliyokuwepo?

Kwenye kila Lita ya mafuta serikali imechomekea tozo za kila aina... Je, hamuoni kwamba ni wakati muafaka kufuta tozo husika?

Swali la mwisho: Zanzibar mafuta yameongezeka kwa shilingi ngapi?

WaTanganyika si wajinga!
 
Wafuasi wa ma-cartels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…