Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Aliwahi kusema mbunge w moshi mini mzee wetu R.I.P. umasikini ni kitu kibaya Sana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
 
Acheni Uzushi na uongo wenu. Ndio maana watanzania wanawapuuza sana
Watanzania wa lumumba mnaolipwa buku saba ndio mmetupuuza na sisi hatuhitaji kuungwa mkono na nyinyi wajinga wajinga mliopuuzwa hadi na viongozi wenu wajinga mpaka mgombe wa nccr anateuliwa huku nyie wajinga na wehu mkipuuzwa na hao wauwaji. Sycophant.
 
Kwani amekataa ndio mana ameshauri tozo ziondolewe au zipunguzwe ili wananchi wapate ahueni.Matako yako by Sugu
 
Watanzania wamegoma kuwaunga mkono wahuni na wababaishaji
 
Lukas hana jibu kwa kuwa ni mtu aliyejitoa fahamu kusaka uteuzi
Anatumia njia ngumu mno kupata uteuzi, na akizubaa atakuta anaowasifia washamaliza muda wao wa kuwa madarakani.
 
 
Bei ya mafuta nchini huathiriwa na vitu kadhaa
1. Bei ya dunia (global price)
2. Kodi na tozo za ndani
3. Gharama za usafirishaji na uagizaji
4. Mfumo wa manunuzi mfano zabuni
Kwa hiyo, Kupanda kwa dunia ni sababu, lakini bei ya mwisho kwa wananchi inaamuliwa pia na sera na tozo za serikali.”
 
Unachuki binafsi na Mh. Heche story yako nzima unamnanga heche wala huchambui alichosema heche
1.Je sikweli serikali inachukua 31% kwenye kila senti inayonunua tone la mafuta nchini.
2. Je utaratibu wa kununua mafuta nchini ukoje hakuna ma-cartel ???
3. Kwanini serikali haitaki wafanyabiashara kuagiza mafuta wao wenyewe bila kupitia kwenye taasisi yoyote ya serikali mfano PBPA nakuja kushindana sokoni ikiwa serikali imeshaweka kodi na tozo zake.
4. Je hujui Bullk Procurement System (BPS) kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasababa PBPA na Ma- cartel kumili uchumi wachi yetu
Je hujui EWURA hawezi kupanga ukomo wa bei ya kuuza mafuta bila kujua gharama za usafiri hapa ma-cartel wanahusika mojakwamoja na hawawezi kupanga bei ya ukomo wa kuuza mafuta bila PBPA Kuwaeleza gharama za kununua mafuta.
Fungua ubongo wako mkuu heche yupo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…