Walikuwepo Akina Magu, Bokasa, Elibashiri, iddy Amini dada mabutu makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Ukatili wako unyama wako Udikiteta wako vina mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wakeukiropoka kilofa kwa kukiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo tu gentleman bila mbambamba yoyote π
Wewe ndiyo mpotoshaji unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetaniRelax na kuepuka upotoshaji bila kusababisha usumbufi kwa wadau wengine wa jf gentleman π
Kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka kadiri ya mapenzi ya Mungu, but sio kwa ghadhabu na ramli za kilofa kama hizo gentleman πWalikuwepo Akina Magu, Bokasa, Elibashiri, iddy Amini dada mabutu makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Ukatili wako unyama wako Udikiteta wako vina mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
Huyo ni kihoro chake au self defence. Hawanaga aibu wakiishiwa wanazusha chochoteMakamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.
CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.
View attachment 3331181View attachment 3331182
Mwone huyu mwehuSafari hii lazma waage Tu hakuna namna wananchi wameamua mabadiliko
Al Qasamia imepita .π―Mama kajigeuza kuwa Al Qaida, sasa tumuite Al QaSamia
mimi ni mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa, muhadhiri mwandamizi wa kitaifa na kimataifa, mkulima na mfugaji biashara, apostle na mtumishi mchapakazi asiechoka wa wananchi wa Tanzania.Wewe ndiyo mpotoshaji unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
Umekaa ghetto unavuta Bangi kwa kudhani kipondo haramu cha kishetani ni haki yako, vina mwisho wake hata wewe una mwisho wako Walikuwepo madikiteta hatari Duniani leo hii wapo wapi?Ndio. Bila adabu na heshima kwa Serikali ni kipondo tu!
Unaposema mimi nina mwisho wangu, maana yake wewe hauna mwisho sio? Ahahahahaha!!!Umekaa ghetto unavuta Bangi kwa kudhani kipondo haramu cha kishetani ni haki yako, vina mwisho wake hata wewe una mwisho wako Walikuwepo madikiteta hatari Duniani leo hii wapo wapi?
Wewe siyo mtaalamu na siyo msomi na kama unajiita msomi uliiba mitihani ukapata vyeti na endapo ccm ndiyo wanakutegemea kuwatetea mitandaoni wamebugi sana kwani huna hoja huna unachojua zaidi ya kukariri kuwa ukosoaji wa mapungufu ya ccm ni uropokaji wakati waropokaji unao huko huko ccm, huna uzalendo wowote kama ni kujitolea unajitolea kubariki vitendo haramu vya kishetani hufai kabsa wewe ni zaidi ya shetanimimi ni mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa, muhadhiri mwandamizi wa kitaifa na kimataifa, mkulima na mfugaji biashara, apostle na mtumishi mchapakazi asiechoka wa wananchi wa Tanzania.
Daima niko muaminifu na mzalendo katika kuwadhibiti kisiasa waropokaji, vibaka na matapeli wa kisiasa nchini. Daima Nitaendelea kujitolea bila kujibakiza π
Wote tuna mwisho lakini wewe mtu katili mtu usiye na utu huruma umekariri kuwa utaishi milele na hayo matendo yako haramu ya kishetaniUnaposema mimi nina mwisho wangu, maana yake wewe hauna mwisho sio? Ahahahahaha!!!
Everybody has to live his/ her days. How to live them depends on yourself!Wote tuna mwisho lakini wewe mtu katili mtu usiye na utu huruma umekariri kuwa utaishi milele na hayo matendo yako haramu ya kishetani
Ulofa unao wewe kukariri kuwa chadema ni waropokaji huo ndiyo urofa wako mkubwa, leo ndiyo utajua kuwa wewe ni rofa pengine ulikuwa hujui kwani hawakuwa wakikuambia ukweliKila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka kadiri ya mapenzi ya Mungu, but sio kwa ghadhabu na ramli za kilofa kama hizo gentleman π
Hata uonevu wenu Udikiteta wenu vina mwishoEverybody has to live his/ her days. How to live them depends on yourself!
Punguza mihemko gentleman na urelax plz.Wewe siyo mtaalamu na siyo msomi na kama unajiita msomi uliiba mitihani ukapata vyeti na endapo ccm ndiyo wanakutegemea kuwatetea mitandaoni wamebugi sana kwani huna hoja huna unachojua zaidi ya kukariri kuwa ukosoaji wa mapungufu ya ccm ni uropokaji wakati waropokaji unao huko huko ccm, huna uzalendo wowote kama ni kujitolea unajitolea kubariki vitendo haramu vya kishetani hufai kabsa wewe ni zaidi ya shetani
Sio tu kwamba chadema ni waropkaji,Ulofa unao wewe kukariri kuwa chadema ni waropokaji huo ndiyo urofa wako mkubwa, leo ndiyo utajua kuwa wewe ni rofa pengine ulikuwa hujui kwani hawakuwa wakikuambia ukweli
epuka dhana potofu na ramli za kilofa namna hiyo gentleman πHakuna mabaya yasiyo na mwisho wake ipo siku ya Senegal ghana Zambia yatatokea Tanzania na ccm kuwa kama chama cha KANU kule kenya na watesi nyie kujutia mateso yenu
Mawazo hayapigwi rungu.Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.
CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.
View attachment 3331181View attachment 3331182
Kazi ya Upinzani ni kuikosoa Serikali popote Duniani, kazi ya Upinzani siyo kufagilia wizi, ufisadi, ukiukaji wa sheria za Nchi na mambo yote ya hovyoPunguza mihemko gentleman na urelax plz.
tuachane na hizo accademic credentials zangu coz hiyo ni intro tu,
but there is no way vibaka na matapeli wa kisiasa wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi wanaweza kujipenyeza na kutikisa umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote.
watadhibitiwa vilivyo na wanavyo ropoka kilofa hivyo hamna kitu wanaweza kufanya wala mahali wanaweza kwenda π