PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata mimi sometimes nakuwa nafikiria kama wewe
 
imefikia wakati haya matukio yanaonekana ya kawaida
watu wapo tayari kufa kwaajiri ya kudai haki, hawaogopi vitisho vya dola na umauti kwaajiri ya kudai haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…