didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
kwani saiv watu Hawafi?Watanzania tumezidi unafiki. Yaani huyo mtu ameumia kwa kutukanwa kwenye kampeini za uchaguzi hadi kususa. Yeye katika harakati zake amechafua wangapi, ni wangapi wamemwaga damu katika harakati alizoanzisha yeye. Huyo mtu wenu hawezi pona kirahisi, kaharibu maisha na amemwaga damu za watu wengi kuipitia harakati zake uchwara.P
Hata Mbowe a aheshimu uamuzi wenu wa kupiga kelele.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika kipindi cha Wake Up Call cha Upendo Media, zikiwa zimepita siku nne tangu Mbowe alipojitokeza katika uzinduzi wa Dira Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3412968
Kwa hiyo ndiyo kasusa? Jabari la siasa unasusaje na hivyo vijembe vidogo vidogo tena wakati wa kampeni za ndani ya chama?1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
VIJEMBE VIDOGO VIDOGO MTU ANAKWAMBIA UMAZINI NA MAMA YAKO USEME NI VIJEMBE VIDOGO? kWAMBA WEWE UNAKULA RUSHWA YA ABDUL USEME NI VIJEMBE VIDOGO?vijembe vidogo vidogo tena wakati wa kampeni za ndani ya chama?
Basi bwana kama na hilo hulijui nimeshindwa mimi!Hivi kuna kitu kibaya gani kilisemwa dhidi ya Mbowe wakati wa kampaign za uchaguzi wa ndani ya chama?.
Ni nani huyo aliyeyasema hayo ya kumbagaza Mbowe?
1. Missile nilimblock, moja hiyo! Nilkuwa namchukuliaa kama mtu wa kujenga hoja, kumbe rubbish!Mpuuze tu huyu Retired , hanaga hoja when it comes to Mbowe akitajwa. It seema mpaka leo anaumia Mbowe kuenguliwa kwenye ile nafasi
Kabla hujani block na mimi, unafikir ni matusi gani ambayo Mbowe alitukanwa ambayo hamyasemi.1. Missile nilimblock, moja hiyo! Nilkuwa namchukuliaa kama mtu wa kujenga hoja, kumbe rubbish!
2. Sina unasaba wowote na Mbowe, nasimami kitu ambacho nami ungelinifanyia tunaachana kabisa! Mfano ni hapa huyo Misile. I blocked him maana nilimuona he is nonsense! Ukutanguliza matusi badala ya kujibu hoja sina sababu ya kusoma post zako.
yataje hayo matusi na madhihaka unayosema.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Turudi nyuma! Niwekee clip a Mbowe akimtukana/kumdhihaki etc Lisu.Kwa nini yaliyosemwa dhidi ya Mbowe yawe ni mabaya kiasi cha kutosameheka, ila yale dhidi ya Lisu, yawe ni rahisi kusahaulika?
MTU akiambiwa una ndimi mbili anapata presha na kusema mumenitukana.Wenzako wanakusubiri sehemu stahiki wewe unatokea nyumbani kwa aliyekufanyia hila utaelewekanaje?Je angeshinda baada ya kupakaziwa uliyoyasema angelisusia chama? Tafakari1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
mambo ya kuzini na mama yanatokea wapi wewe mstaafu? kwani mko hivyo watu wa rangi nyeusi!VIJEMBE VIDOGO VIDOGO MTU ANAKWAMBIA UMAZINI NA MAMA YAKO USEME NI VIJEMBE VIDOGO? kWAMBA WEWE UNAKULA RUSHWA YA ABDUL USEME NI VIJEMBE VIDOGO?
KAMPENI NDANI YA CHAMA LAKINI ZINASAMBAA DUNIA NZIMA? WATU WANAKUONA HOPELESS USEME NI VIDOGO VIDOGO?
KWA VILE HUJATENDEWA UNAYAONA MEPESI
google! KILA KITU KIPO HUMU. USINIPE HOMEWORK.yataje hayo matusi na madhihaka unayosema.
Ndiyo nasema speculations! weka ushahidi wa pesa ya Abdul. factum probandum and factum probans must go together. Failure to that, case dismissed with costs!mambo ya kuzini na mama yanatokea wapi wewe mstaafu? kwani mko hivyo watu wa rangi nyeusi!
khs pesa za Abduli ilikuwa ni kweli kabisa. Shahidi Wenje
Ndugu Retired , sijaona tusi ambalo FAM alitukanwa na uongozi wa CHADEMA wala wanachama na wanaosadikika kuwa ni wanachama wa CHADEMA.VIJEMBE VIDOGO VIDOGO MTU ANAKWAMBIA UMAZINI NA MAMA YAKO USEME NI VIJEMBE VIDOGO? kWAMBA WEWE UNAKULA RUSHWA YA ABDUL USEME NI VIJEMBE VIDOGO?
KAMPENI NDANI YA CHAMA LAKINI ZINASAMBAA DUNIA NZIMA? WATU WANAKUONA HOPELESS USEME NI VIDOGO VIDOGO?
KWA VILE HUJATENDEWA UNAYAONA MEPESI
wewe jamaa ww kituko sanagoogle! KILA KITU KIPO HUMU. USINIPE HOMEWORK.
waungwana hatutukanani, tunajenga hoja kali kwa mpinzani wako. uNAMGONGA RISASI YA HOJA, SIYO DHIHAKA MAANA HYU NI COLLEAGUE, FRIEND, FELLOW FIGHTER ETC ETC....mfano unamwambia Lazima uenyekiti uwe na Kikomo kwa sababu 1, 2, 3, 4.. Sasa wewe unamsema mwenzako kuwa hii siyo mali ya baba, wala mama yako, wala familia yako, siyo ya wachaga! haya ni matusi, dhihaka , dharau UADUI
matusi hayo sasa, muulize mama yako kama mimi ni kitukowewe jamaa ww kituko sana
wewe ndiye mrema nn? 😃
1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
zamani hukuwa hivyo. nini kimekuchanganya kiasi hiko.matusi hayo sasa, muulize mama yako kama mimi ni kituko
hebu tutolee upuuzi wako hapa bhana, mbowe ni mtu hovyo tangu zamani sema mlikuwa hamjamjua tuu.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!