GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
walimbagaza wapi,Kosa la lussu ni lii au kule kusema atafanya mabadiliko ya sheria ili ubunge viti maalumu na udiwani maalum viwe na ukomo???au kusa lake kutowateua akina mwalimu kuwa manaibu wa katibu mkuu ndo kosa la lissu,hebu dadavua tukuelewe pengine me uelewa wangu uko chini
 
Mwanaume ha na time ya kuheal bwana wewe,
 
Maajabu mengine ndiyo haya haPa

Bado unayo matumaini yoyote juu ya Mbowe hadi sasa, mtu aliyeamua mwenyewe kujivunjia heshima?

Au unayachukulia maneno ya Heche kuwa ni kujutia lolote lililotamkwa juu ya mtu aliyeamua kuwa msaliti wa juhudi za chama alichokiongoza mwenyewe kwa miaka mingi? Ulitaka Heche aseme nini juu ya mtu kama huyu, mbali ya kumpakazia mafuta kama alivyo fanyai!

Mbowe hastahili heshima yoyote; na hasa baada ya kujitambulisha wazi wazi kwa kuhudhuria hafla hiyo na mfadhili wake.
 
Jamaa amekujibu Kwa uungwana, lakini sijui ni Kwa sababu ya malezi mabaya uliyoyapata tangu utotoni, ama upungufu wa madini fulani kichwani! Tayari tu from nowhere umesharopoka matusi.
 
Na kwakuwa Mbowe is a gentleman akaamua kukaa zake kimya awaachie wajuaji waendeshe chama. Sasa hivi kila hata aliyemtukana matusi ya nguoni baada ya kuona chama hakiendi na Mbowe yuko kimya wanaanza tena kumlaumu!
 
We utakuwa mtoto wa 2000; harassment zote zile walizopewa zilikuwa na lengo Moja tu, "get the fu<k out of here" na si kingine. Sasa ulitaka wafanye?!!
 
Hiyo kutukananwa ni kisingizio tu, lakini ukweli ni kuwa Mbowe hakuwa tayari kupoteza uenyekiti wa cdm. Hicho kisingizio anakitumia yeye na genge laki ili wapate sababu ya kuhama.
 
Wapumbavu hawa, kujua kwingiiii kumbe hamna kitu.
 
Hiyo kutukananwa ni kisingizio tu, lakini ukweli ni kuwa Mbowe hakuwa tayari kupoteza uenyekiti wa cdm. Hicho kisingizio anakitumia yeye na genge laki ili wapate sababu ya kuhama.
Mbowe alilalamika mno kuhusu kutwezwa kwa utu wa wake wakati wote wa kampeni. Kama angetaka angeweka figisu nyingi tu huyo chiba apoteee lakini aliandaa uchaguzi Bora kabisa.
 
Mbowe alilalamika mno kuhusu kutwezwa kwa utu wa wake wakati wote wa kampeni. Kama angetaka angeweka figisu nyingi tu huyo chiba apoteee lakini aliandaa uchaguzi Bora kabisa.
Aliambiwa ukweli, ila kwakuwa alitaka kupandikiza utamaduni wa kuficha ukweli kama huko ccm, ndio akaja na hizo. Ni kampeni zipi wagombea hawatukanwi? Kuambiwa kuwa alilamba asali ni uongo? Hata hivyo hoja iliyomtoa ni mabadiliko, na yeye alikuwa amekaa muda mrefu, hivyo wakati ukawa sio upande wake. Hayo anayoita matusi kama matusi wala sio 2% ya kampeni zile. 90%+ ya kilichomtoa ni agenda ya mabadiliko. Na mabadiliko hayaletwi na mtu aliyekaa miaka 20+.
 
We utakuwa mtoto wa 2000; harassment zote zile walizopewa zilikuwa na lengo Moja tu, "get the fu<k out of here" na si kingine. Sasa ulitaka wafanye?!!
Nani alimharasi mwenzie wewe? Ulikua unamsoma Yericko Nyerere? Mrema je?
 
Na ile siku ya mkutano mkuu Baada ya Lissu kupewa nafasi azungumze alimwambia dhahiri kuwa sasa akapumzike!
 
Mbowe ni msaliti tu, Heche anapaka rangi hoja ili kumsitiri.
 
Kila upande ulitukanwa,hatukatai kuheal,lakini kuna mambo ambayo chama chake kinatendewa hapaswi kunyamaza! Lissu alipiga kelele kipindi Mbowe yupo jela leo Mbowe ameshindwa hata kusema neno moja la likemea. Ni chuki gani hiyo aliyonayo!?
 
Hawajamkosea chochote walisema ukweli Mbowe ni mtu wa hovyo sana ana Roho mbaya sana, ushahidi upi ulitaka? Kama Riushwa ya ngono Mbowe kazaa na viti maalum Watoto, kama ni wizi wa pesa za chama walikuta Account haina pesa, Mbowe si wa kimtetea na mambo mengi ya hovyo sana, Sema Heche kambeep kiutu uzima tu baada ya kugundua kuwa anawahujumu chadema kwa kuwauza G55 kwa ccm na chauma ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…