Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Ingawa hakuna atakayewazingatia hao wapumbavu ila ndiyo muamini Heche siyo mtanzania, ni mkenya yuko kuvuruga, kuharibu na kudunisha nchi yetu. Hakuna hapa dunia chama cha siasa za kipumbavu km hicho. Wakenya nchi yao kwanza siasa baadaye. Ila kina Heche uzalendo wao uko wapi? Kamwe asilani chadema hawataweza kuongoza nchi yetu. Ingewezekana natamani Magufuli afufuke huyo mbwa alishakimbia nchi sema mwanamke ni mwanamke tu, Samia kawarudisha hao vibaraka wa kutuharibia nchi yetu. Ingekuwa tuna Rais mwamba km Kagame, Museveni wangejaribu kuandika hizo barua kesho yake watafute nchi ya kuhamia huwezi kuishi na majoka km hayo ndani ya nchi! Heche ameachiwa sana!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Tulizoea wakurya ni wanaume wenye akili zao huyu bwege ametokea pande zipi, ndiyo shida ya wanawake kuchepuka, "WENYE NCHI NI WANANCHI"Wenyenchi yao ndio wanaosema nchi imejaa magaidi, tena magaidi wengine ni wahadhiri wa vyuo vikuu
Shida hii JF imetekwa na nyumbu, wanaendesha siasa za kishamba, wako tayari lolote litokee ht kuangamiza nchi ili mradi waingie madarakani. Hicho ndiyo kinafanya chadema kamwe wasione uongozi wa nchi hii. Wamechoka kuendesha siasa safi sahv wanadandia kila tukio la hovyo. Chadema ndio waliohamasisha, waliopanga, kufadhili na kutekeleza zile vurugu na ghasia za tarehe 29, ule ulikuwa UASI uliopangwa!Acha uwe upumbavu, waliosema kuna ugaidi ambao haupo wao sio wapumbavu.
Intact namkubalii sana mwambaa heche ilahapa sio, hizo petitions haziezi kusikika coz football na politics ni irrelevant images hazina ushirikianoo kabisa!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Ukiwa vitani kila unachokutana nacho hiyo itumie kama siraha ya kulinda dhidi ya aduiMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Shida sio Heche ni Samia maana ndie aliyesema hayo na mikutano ya siasa ikazuiwa.HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Sasa nanyie CHADEMA tuwaeleje? Mnasema hamuitambui serikali iliyojipachika madaraka halafu leo hii unaungana nayo kwenye tamko la uwepo wa Magaidi, kwahiyo mnakubali kuwa magaidi wapo ?Je, wale wenzenu waliofunguliwa kesi ya ugaidi huoni barua yenu inawahukumu? CCM na CHADEMA kaeni meza moja muyajenge.Kwako wewe uzalendo ni serikali kukosa MAPATO, ila wananchi kubambikiwa kesi za uhaini na ugaidi kwako Hilo ni sawa tu. Anyway kama ulikuwa hujui MZALENDO ni mtu anayeipenda nchi yake, sio serikali.
Mwisho wa haya ni KATIBA MPYA ambayo wananchi hawatavumilia kuuwawa kwa maslai ya wanasiasa..mpaka sasa tungekuwa tumevisimamisha hivi vyama viwili CCM na CHADEMA kupisha uchunguzi wa kiini cha mgogoro.....Twende hivi hivi. Tutafika tu!
Heche hapaswi kuingia kunye huo mtego labda kama anania ya kukalia hicho kiti muda wote. CCM na CHADEMA kaeni meza moja muyajenge.Shida sio Heche ni Samia maana ndie aliyesema hayo na mikutano ya siasa ikazuiwa.
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Jambo zuri sana ,kama kuna UGAIDI inabidi wazungu wajuzwe ili wasije Tanzania nchi yenye magaidi na UGAIDI.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Yaani huyu ndiyo Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa!! Ndiyo analeta hoja kama hizi je hao wanachama wao wa kawaida hivi watakuwaje?, Haya FIFA na CAF imehusikaje kwenye siasa za Tanzania? Yaani anajiona yeye na chama chake ni watu special sana nchini kwamba kila kitu kisimame kwa sababu ya upuuzi wao!! Sasa unataka kuzuia sekta ya michezo hivi hao wanamichezo wata kuungaje mkono .Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
24 July 2026
Dar es Salaam, Tanzania
Heche: CHADEMA party will write an official letter to FIFA and CAF to explain that the Government of Tanzania says there is 'Terrorism in Tanzania' and they should not bring people to AFCON 2027
CHADEMA Vice Chairman, John W. Heche has stated that CHADEMA plans to write letters to world sports institutions such as FIFA and CAF, as well as other international organizations, to inform them about the government's statements on current security concerns.
Read: Heche: Within 2 days, 51 CHADEMA leaders have been arrested and charged with terrorism cases
The CHADEMA party has stressed that its action is not to tarnish the country (Tanzania) , but to clarify the truth and call on the world sports organs to re-evaluate the security of organizing major events in Tanzania amid these allegations of terrorism.
View: https://m.youtube.com/watch?v=jHiymWtfwOg
Mnahangaika bure tu. Afcon itachezwa hapa Tanzania kwa muda wa mwezi mzima mapema mwakani.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Mpuuzi sana huyu jamaa, yeye na chama chake walikuja na mikwara ya Rais SSH kushtakiwa kule ICC lakini muda unakwenda na hakuna la maana linalofanyika.Yaani huyu ndiyo Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa!! Ndiyo analeta hoja kama hizi je hao wanachama wao wa kawaida hivi watakuwaje?, Haya FIFA na CAF imehusikaje kwenye siasa za Tanzania? Yaani anajiona yeye na chama chake ni watu special sana nchini kwamba kila kitu kisimame kwa sababu ya upuuzi wao!! Sasa unataka kuzuia sekta ya michezo hivi hao wanamichezo wata kuungaje mkono .
Hivi ndugu narogo hujuwi kuwa serekali ya CCM ikisema kuna ugaidi walengwa ni Chadema?. Kupitia tamko hilo la ugaidi, tambuwa kuna wanachadema watakaotekwa na kuuwawa, kuna yatima wajane na wagane watazalishwa, biashara na shughuli zao halali zinaenda kuvurugwa, kuna watakao bambikiwa kesi za ugaidi huohuo,.....to list few.Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?