Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Ahsante nimekuelewa
 
MBONA kesi za UGAIDI Tanzania ni jambo la kawaida tu .

KIBITI wameuliwa magaidi Mashekh wameshawekwa ndani kwa tuhuma za UGAIDI sasa Leo ionekane ni ajabu au kwasababu HAO MAGAIDI waliokamatwa ni watu wenu....?

YEYOTE ANAWEZA KUWA Gaidi GAIDI HANA SURA awe mrembo mgumu au mlaini. HECHE tulia vyombo vya Usalama ndio vinajua nani anaviashiria vya UGAIDI wewe Heche hujui chochote.
 
Alianza Mkapa kutangaza kuwepo ugaidi nchi hii akatunga na sheria.
Baada ya hapo marais waliofuatia wote waliweka ndani waliowatuhumu kwa ugaidi kama afanyavyo leo Samia. Hajaanza Samia kutangaza kuwa nchi hii ina ugaidi. Sasa kwa nini hayo mataifa hayakutuchukulia hatua ulizozitaja wakt nchi ilishatangazwa kuwa ina ugaidi tokea enzi ya Mkapa?
 
Nakusisitiza tena uwe unafanya utafiti, bahati nzuri mitandao inatunza kumbukumbu. Hata dk 20 tu zinatosha kujua Chadema walisema nini kuhusu hao mashekhe
Hawakuwahi kusema nchi hii itengwe kisa tu Mashekh wameshikiliwa. Wewe mwenye akili sana tuwekee hapa
 
Itoshe tu kusema kuwa ugaidi unaosemwa walengwa ni Chadema na utawagharimu damu na mali pamoja na uhuru.
"Mbowe ana records za ugaidi "
 
Saaafi kabisa

Mdomo uliponza ulimi, vinginevyo serikali wafute kauli zao
 
Shida ya taifa letu ni katiba tuliyonayo inatoa madaraka kupitiliza na aijaweka utaratibu wa udhibiti pia, binafsi napendekeza Rasimu inayopatikana kwenye www.katibampya.com
 
Wewe chawa vipi, kwani Heche ndiye aliyetangaza kwamba Tanzania kuna ugaidi. Afadhali kuwa mjinga mzungu wa reli kuliko kuwa Chawa wa mama.
acha makasariko. Mimi sio chawa kama wewe unayemshabikia Heche.CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge.
 
CCM waliambiwa wakae chini na wenzao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 wakashupaza shingo na kuishia kuua maelfu ya Watanzania. Sasa unataka CHADEMA wakae chini na wauaji ili iweje?
 
CCM waliambiwa wakae chini na wenzao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 wakashupaza shingo na kuishia kuua maelfu ya Watanzania. Sasa unataka CHADEMA wakae chini na wauaji ili iweje?
udhani CHADEMA Wao sio Wauwaji? wauwaji ni wote CCM na CDM Siwezi kusema TLP wala NCCR Mageuzi n,k. Kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.
 
Ugaidi na uhaini ni vitu viwili tofauti kaka!!
Kwamba unajitoa akili kuwa Yule jamaa wa UDOM na wale vijana wa Mwanza hawajakamatwa kwankosa la ugaidi?

Ebu tumia basi hiko.kichwa kufikiria bro ili ufuche aibu ndogo ndogo kama hizi mbele ya jamii.
 
Haya maneno angetamka wakati wa Magufuli tayari mpaka sasa watu online wangekuwa wanaandiia #FreeHeche.
Rais Samia kwanini umewapa kupumua hawa Matahira?
 
CAF wameshakunja 82 billion kutoka Tz kama ada ya uenyeji ni ngumu kutema hilo bungo kirahisi ukizingatia Motsepe alidai nchi zimekuwa reluctant kuwa wenyeji wa michuano ya CAF isipokuwa Morocco.
 
Wamemuua nani? Mwenye jukumu la kulinda raia na mali zao ameshindwa kumzuia muuaji asiue?
kama hujaona mauaji ya CHADEMA Basi wewe ni mnufaika.Nakama hujaona mauwaji ya CCM wewe pia ni mnufaika..Unadhani mafahari wawili wakipishana au kugombana ni kinateketea? utasema nyasi zimemalizwa na fahari mmoja? Mimi nasima upande wa nyasi ambao ndio wananchi na pia upande wa zizi ambalo ndio taifa..CCM na CHADEMA kaeni mezani muyamalize.
 
Mtu mwenye jukumu la kulinda raia na mali zao akigeuka kuwa muuaji wa hao raia, bado anastahili kuwa mlinzi wa raia na mali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…