Katika kundi la mbuni wafukia vichwa mchangani hakika hauta kosekana.Arusha imekuwa ngome ya chadema wakati vcccccm imeshinda viti vyote tangu uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 hadi leo sasa unaitaje ngome ya chadema?una akili timamu wewe?
Unakumbuka Oktoba 29 tulipitia hali gani? Wataruhusu vipi kutwa wanaharalati wanatishia wataleta hali kama ile tena. Inapaswa muwalaumu hao wanachochea hayo, wapo watu ambao hawana mlengo wa kisiasa walipata shida kisa hali hiyo. Siangalii upande ila ukweli lazima wachukue tahadhari kwa wito wa vurugu unaoandaliwa kila uchwao.Hakuna anaeombea ila vyombo vya ulinzi na usalama hauoni vimemshika muhadhiri wa udom na mwingine yupo huko kaskazini kwa makosa ya ugaidi sasa unadhani wapo hao tu? Bila shaka magaidi wapo wengi mno hauoni hata serikali wamezuia mikutano ya vyama vya siasa kwasababu Kuna matishio hayo?
Msiingie huo mkumboWaliosema kuna ugaidi ndio wanatakiwa kupeleka ushahidi mahakamani.
Una uhakila hizp leso zao zimevikoa stste ya kuwa natoon threat?Jombaa,Mwanza watu kumi na tatu kama sio kumi na nne wamepandishwa kizimbani kwa kesi za ugaidi.Dodoma mkufunzi wa chuo kesi hiyo hiyo ya ugaidi.Sasa unataka mtu a prove nini kama sio kwamba serikali yenyewe ndio inajichanganya.Hakina Niffer na wenzake walikuwa na kesi gani kama sio ugaidi.
Yule sheikh Mwaipopo na hotuba zake anakuwa anazungumzia nini kama sio ugaidi.Tundulissu kesi yake ni sawa na tuhuma za ugaidi maana uhaini na ugaidi ni mzazi na mtoto wake
Serikali inao ushahidi kwa sababu imewafungulia watu mashtaka ya ugaidi. Hapo unataka uthibitisho gani tena?Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Lazima wakumbushwe.Kwani Fifa mpaka wambiwe na Chadema ndio wajuwe kuna ugaidi Tanzania??
Kajamaa kajinga sana haka.
Haijafikia hatua yakuwa nation threat hizo kesi. Hata nchi wenyeji wa kombe la dunia zipo za kutosha ila bado michuano ilichezeshwaSerikali inao ushahidi kwa sababu imewafungulia watu mashtaka ya ugaidi. Hapo unataka uthibitisho gani tena?
Serikali inaweza sema uongo kwa raia wake kuwa kuna ugaidi?
Nimeshindwa kuelewa ulichoandika. Hebu edit kwanza labda nitaelewaHaijafikia hatua yabjuwa natiom threata hizo kesi. Hata nchi wenyeji wa lombe la dunia zipo za kutosha ila badp michuano ilichezeshwa
Kwa kifupi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Mbona unaandika kama unakimbizwa ? Au hujatia kitu tumboni ? Kipi kinachokufurahisha ? Jeshi la Polisi kila mtu kumuita gaidi? Au Mpinzani kutaka kuwapa taarifa kwa kuwaandikia FIFA, CUF barua za kuwaambia hali ilivyo ?Haijafikia hatua yabjuwa natiom threata hizo kesi. Hata nchi wenyeji wa lombe la dunia zipo za kutosha ila badp michuano ilichezeshwa
Mwandiko wa memkwa mawazo ya memkwauthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Sio upumbavu Mkuu ni human rights issue. Huwezi kufunga viongozi wa upinzani kwa kesi za uongo halafu useme mambo safi twendeni uwanjani tukashangilie. Michezo ya kisasa inaangalia utu na amani ya nchi kwanza.Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Huyo jamaa tunamsubiria jukwaa la jokes na mmu , huku kume mpalia..U
Huoni haya yote ni consequences za CCM kujifanya wao ndio alfa na omega?
Ugaidi hauangalii mpiraMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
wewe ni chawa?Katika kundi la mbuni wafukia vichwa mchangani hakika hauta kosekana.
Magufuli na samia nani mzalendo?Kwani Fifa mpaka wambiwe na Chadema ndio wajuwe kuna ugaidi Tanzania??
Kajamaa kajinga sana haka.