The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
It actually makes a lot of sense...Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Unasemaje sijakuelewa?Anyway,ngoja nijibu hivyo hivyo japo sijaelewa umeandika nini?Una uhakila hizp leso zao zimevikoa stste ya kuwa natoon threat?
Vitumbua vimeishamwagiwa mchanga hapo,huna chako kaa pembeni.Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Heche ndiye katangazia Umma kwamba Kuna Ugaidi?HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
hivo vyombo ndo vimemshauri Heche aandike barua FIFA na CAF?Utoto kivipi inamaana wewe unabishana na vyombo vya ulinzi na usalama?
Dawa ya moto ni motoHECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Hakuna Raia namba moja ambaye sio mzalendo.Magufuli na samia nani mzalendo?
KAMA NI KUKOMOANA KWA NAMNA HIYO KWANINI TUSIVIFUTE HIVYO VYAMA TAIFA LIKABAKI SALAMA?Dawa ya moto ni moto
Kumbe hata huo ugaidi ni wa kitoto!HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Huko kuita mpakavwahadhiri , Magaidi sio mwanzo wa machufuko?Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Uchumi uko wapi?Huu sasa ni uchizi
Wanaoweza kuthibitisha ni chadema au ccm wenyewe? ni lini wanachi walisema kuna magaidi.Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
KAMA MMEAMUA KUKOMOA KWA MASLAHI YENU. KWANINI TUSIVIFUTE HIVO VYAMA VYENU? AFCON WATU WATAFANYA BIASHARA WATAJIPATIA RIZIKI NA MAMBO KADHA WA KADHA HAMUONI MNAWANYIMA WANANCHI WENU FULSA? KWANI NYIE MPO KWA AJILI YA KINA NANI? UGOMVI WENU HAUPASWI KUATHIRI WANANCHI WENU.Kumbe hata huo ugaidi ni wa kitoto!
Wanaofaidika ni ccm na mipango hiyo na sio chadema wanaokamatwa na kufunguliwa kesi za ugaidi.Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Kukiwa na ugaidi ni kitu gani kinachokwenda sawa? Makosa wafanye ccm malalamiko wapewe chadema.KAMA MMEAMUA KUKOMOA KWA MASLAHI YENU. KWANINI TUSIVIFUTE HIVO VYAMA VYENU? AFCON WATU WATAFANYA BIASHARA WATAJIPATIA RIZIKI NA MAMBO KADHA WA KADHA HAMUONI MNAWANYIMA WANANCHI WENU FULSA? KWANI NYIE MPO KWA AJILI YA KINA NANI? UGOMVI WENU HAUPASWI KUATHIRI WANANCHI WENU.
Kwani wewe huamini kama Kuna magaidi nchini?HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.