Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Mkuu, generally speaking, unaliongeleaje hili suala la Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni?...walifika ukumbini baada ya watu kuwa wameshaanza kula na kukuta foleni ya chakula ikiwa imekatika, wakajua kuwa chakula tayari kimeshaisha, ila Mc alipochukua jukumu la kuwatangazia watu kwamba chakula bado kipo, ndiyo wakajua kuwa chakula kumbe bado kipo na hivyo nao wakaamua sasa kwenda kuchukua kwa mara ya kwanza ili waweze kula, vinginevyo wasingekula kwa sababu hapo awali hawakuwa wamekula