Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Kubeba chakula kwenye sherehe/msiba? Hii hapana kaka mkubwa. Hii sio tabia njema.Unaweza kubeba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubeba chakula kwenye sherehe/msiba? Hii hapana kaka mkubwa. Hii sio tabia njema.Unaweza kubeba.
MIMI SIISHI KWA AJILI YA WATU WATANIONAJE NINA STRATEGY ZANGU BINAFSIMkuu, kwa hiyo watu 200 wote wametulia katika viti vyao halafu wewe mmoja ndio unanyanyuka na lisahani lako kwenda kuongeza ubwabwa? Kwani usipoongeza utakufa?
NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) ni lazima tufundishane.
watu wanapaswa kufundishwa discipline ya kula mbele ya Kadamnasi....haujashiba kwanini uvunge kisa watu watakuonaje
Ninasisitiza tena kwa mkazo zaidi kwamba mbele ya kadamnasi ni vema mtu kuwa na, discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!!MIMI SIISHI KWA AJILI YA WATU WATANIONAJE NINA STRATEGY ZANGU BINAFSI
NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)Sio sahihi wala busara. Tunaogopa tutaonekana waroho na walafi
Mkuu, kama ni nyumbani mpo peke yenu na si mbele ya kadamnasi, hiyo sio mbaya.nilikuwa na msichana anaitwa Queen. Alikuwa anakula zaidi ya kg tano za kitimoto peke yake na bia 16 castle larger.
KUTOKUSHIBA NDIO NIDHAMU AU NAKUELEWA VIBAYA TENA HUKO KWENYE HARUSI SI NDIO NAKULA MCHANGO WANGU MWENYEWE.NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)
umeandk ripoti ya CAGMADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi. Kila siku tukikaa kujadili masuala ya wazungu ni nani atazungumzia ustaarabu wetu?
Ndugu zangu wa Tanzania;
Miezi kadhaa iliyopita nilipata kuhudhuria sherehe moja ya harusi ya mtoto wa kike wa ndugu yangu wa karibu sana iliyofanyika katika ukumbi fulani maarufu sana kule mkoani Arusha. Kusema ukweli wa Mungu harusi ile ilifana sana. Ndugu, jamaa na marafiki sote tulijumuika tukala na kufurahi kwa pamoja.
Tulipiga story mbalimbali pamoja na kukumbushana mambo ya zamani kwa maana ilikuwa ni fursa pia ya kuonana na watu ambao hatukuweza kuonana kwa muda mrefu sana. Sasa kama inavyofahamika na wengi kwamba sherehe huwa ni ratiba mahususi na ratiba ile huwa ina vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na kuwapokea maharusi, kutambulishana, kwenda kuchukua chakula pamoja na utoaji wa zawadi.
Hapa kwenye uchukuaji wa chakula ndio mada kuu ya mjadala kwa siku ya leo. Muda wa chakula ulipowadia ndugu mshereheshaji (MC) aliwaita maharusi kwanza, kisha wakafuata wazazi wa pande zote mbili na kumalizia na sisi akina Infantry Soldier (Kwa maana mimi kudandia sherehe ni kama ulimi na mate hahahaaaaaa I am joking....!!!!!!)
Bwana harusi alikuwa ni mtoto wa kiongozi fulani huko na yeye binafsi alikuwa anafanya kazi katika NGO moja kubwa tu huku Dar, hivyo ile sherehe ilikuwa ni ya budget kubwa kiasi. Hakika chakula kile kilikuwa ni kitamu sana sana tena saaaaana.
Kila mtu alikula na kufurahi lakini cha ajabu MC yule yule akatangaza kwa mara kadhaa kwamba ndugu wageni waalikwa mabibi na mabwana, CHAKULA BADO KIMEBAKI KINGI TU KWA ANAYETAKA KUONGEZA RUKSAAA hahahaaaaaa hapa ndio kasheshe ilipokuwapo. Amini usiamini, hakuna aliyethubutu hata kusimama kwenda kuongeza msosi isipokuwa jamaa fulani 3 ambao ni rafiki wa bwana harusi.
Kile kitendo walikifanya wao lakini aibu niliiona mimi. Inakuwaje mtu mzima na ndevu zake anashindwa kuizuia tamaa ya muda mfupi na kuamua kujidhalilisha namna ile mbele ya kadamnsi?
Sasa ndio nikajawa na maswaki mengi kuliko majibu kwamba;
Je, unafikiri ni jambo sahihi na busara mtu kuongeza chakula katika sherehe/msiba?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
MAONI YA MDAU
=======
aibu ni haki yako kwakuwa ni mwanaume wa dar, ila wamikoani huku hatuna hizoIna maana katika kadamnasi yote ile ya watu takribani 200, wao tu ndio walikuwa na njaa ya kufa? Nilijisikia aibu sana aisee
kwani nikionekana mlafi itanipunguzia nini katika maisha haya ya kutafuta mkate?Kwanini asiende kujazilizia tumbo lake nyumbani kama hajashiba? Utaonekana mlafi kupenda kula kula mbele za watu...
NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)kwani nikionekana mlafi itanipunguzia nini katika maisha haya ya kutafuta mkate?
NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)aibu ni haki yako kwakuwa ni mwanaume wa dar, ila wamikoani huku hatuna hizo
MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)Kiukweli mmekosa mada
Nitazidi kusisitiza Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageniJibu ni ruksa kuongeza.
Nitazidi kusisitiza Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageniKuongeza Chakula kwenye Sherehe sio tatizo kutegemeana kiasi ulichopakua awali