Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

Mkuu, generally speaking, unaliongeleaje hili suala la Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni?...
 
Mimi kiujumla naenda kuongeza mzigo...hata ikiwa dunia nzima itaenda tofauti na Mimi........point to take:Kama sio mtu wa mazoezi kula chakula kingi usiku ni ulafi
 
Mimi kiujumla naenda kuongeza mzigo...hata ikiwa dunia nzima itaenda tofauti na Mimi........point to take:Kama sio mtu wa mazoezi kula chakula kingi usiku ni ulafi
Mkuu, generally speaking, unaliongeleaje hili suala la Busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni?
 
Kaka mkubwa Makanyaga, nina uhakika huo kwa maana they were sitting just next to me. Few tables away from where I was...
Ukiona uzi unatumia nguvu nyingi sana kuutetea, jua kwamba kuna kitu mahali fulani hakijaenda sawa. Kwa sababu mimi ninavyokuona wewe ulivyo, hata kama ungekuwa umekaa nao meza moja, ilikuwa siyo rahisi uwe attention na ratiba yao ya chakula, isipokuwa mambo mengine makubwa, yanayofana na wewe. Your brain is too big kiasii kwamba nina imani marginals huwa zinaendelea kwenye public places ambazo huwa unabahatika kuwepo, completely without your notice, labda zitokee fujo ndiyo na wewe attention yako inaweza ikaonekana kuchotwa na kelele za watu, vinginevyo huwezi
 
Shemeji alikupa ushauri mwanana sana mkuu. Hii pia ndio kanuni yangu ya msingi katika maisha linapokuja suala zima la matumizi ya fedha...
 
Kutokushiba na kuongeza chakula sio 'Table Manner'.
 
Hahahaaaaa mkuu, My brain is not that big. Let me challenge your assessment. Mimi ni kijana wa kawaida sana humu JF. I am just a normal guy...
Big brains huwa hazijijui, na wala huwa hazijioni, kuwa ziko big. This is just once again, another proof that your brain is big!
 
mimi ninavyokuona wewe ulivyo, hata kama ungekuwa umekaa nao meza moja, ilikuwa siyo rahisi uwe attention na ratiba yao ya chakula, isipokuwa mambo mengine makubwa, yanayofana na wewe.
Eti, mambo mengine makubwa, yanayofana na wewe hahahaaaaaaaaa mkuu ndio unazidi kunifurahisha kaka yangu. Mimi usinichukulie serious sana. Mimi nina hulka ya kupenda sana kusoma kama mama yangu mzazi ambaye ni mwalimu ndio maana ninajua mambo kwa kiasi fulani. Ila mimi ni mtu wa kawaida saaaaana my dear brother.......
 
Tatizo kubwa kwa jamii za kiafrika ni kutokuwa wawazi na unafiki uliopiitiliza Kama kuongeza chakula na mtu hujashiba unaona aibu ni Jambo gani utakuwa huru kufanya mbele ya kadamnasi?
Nina uhakika katika mazingira ya kufichaficha Kila mmoja wenu angejiongezea chakula
Hao jamaa watatu waliosimama kwennda kuongeza chakula , they are genuine
 
Tabia ta kukaa unasoma soma maana yake unapata ideas. Ideas ndiyo chakula cha great minds! I like your life style
 
Big brains huwa hazijijui, na wala huwa hazijioni, kuwa ziko big. This is just once again, another proof that your brain is big!
Mhh. Hii statement ndio kwanza ninaisikia kutoka kwako mkuu.

Vp kuhusu watu waliokuwa na vichwa vizuri hapa duniani kama vile Einstein, alikuwa hajifahamu kwamba yeye ni genius/bright upstairs?

All in all, thanks for the credit. Ngoja nitaanza kujichunguza kuanzia sasa mkuu.
 
Mkuu, generally speaking, unaliongeleaje hili suala la Busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni?
Iko pande mbili...Kuna general perspective na personal perspective...asa ishu Kama kuongeza misosi sio kitu kibaya...na endapo mtu ata judge kwa kusema tabia mbaya Basi hayo ni maoni yake...Ila Kama kula chakula uku mtu anaongea ni tabia mbaya....kula uku unaangalia wenzako machoni....au kutafuna uku Domo liko wazi Kama nguruwe iyo ni tabia mbaya
 
Huwa hazijijui kwa maana ya kwamba, wanakuwepo watu wanaomwambia mtu husika kuwa yeye ni big brain, halafu akishasikia hivyo anaanza kushangaa, na wale wanaomwambia nao pia wanaanza kushangaa, kwa nini yeye hajui hilo wakati wao wanajua. Anakuwa anasikia tu kutoka kwa wengine, ila yeye ukimuuliza anasema hajui, sana sana atakwambia kuwa "nasikia watu wananisema hivyo"
 
Je, unafikiri ni jambo sahihi na busara mtu kuongeza chakula katika sherehe/msiba?

Kweli wewe ni last born na akili zako ni za ki last born.

Kwani hicho chakula kilipikwa ili kitupwe au kiliwe???, kama kiliwe kiliwe na akina nani?? Na kiliwe wakati gani??.

Kama wewe unaaibu mahali pasipostahili aibu basi usitake wengine wawe kama wewe kwa kusingizia Manners (adabu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…