Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Kinachofuata ni marufuku ya kutumia vyombo vya usafiri vya kisasa badala yake watatakiwa kutumia Punda au Farasi tu na baiskeli za miti.
Hahaha, mzayuni kawashika vibaya sana. Sasa hivi hawatumii tena electronic devices. Wanakaribia kurudi kwenye matumizi ya farasi kama ambavyo muddy(59) mme wa bi. Aisha(9) alivyokuwa anawatumia wakati wa safari ya Israa na Miraji.
 
Huyu Mwamba kuna rekodi tayari ameshaitengeneza hapa duniani.




Halafu kulikuwa na huyu mwamba mwingine aliyeitwa Ariel Sharon. Waarabu walihisi wameletwa duniani kimakosa sana.


Hapa wapo pamoja👇


Utachagua mwenyewe, nani zaidi kati yao
 

Nadhani hilo ni suala la Mayorhood. Hawa Hamas/Houth walipaswa waache kutumia vyombo vya kisasa. Watumie hata punda au baiskeli. But ungo ingekuwa vizuri zaidi. Nao wanatukera sasa wanakuwa kama wamepagawa. Wanawapa sana credit mayahood.
 
Hao Wairan na washirika wake basi watakuwa vichaa kukusanyika kwa wingi kipindi hiki , maana watakuwa under survuillance sana
Hahaaaaaa inawezekana mkuu, hao ninsawa na nyumbu au kenge ambao mpaka atoke damu ndio ajue ameumia.

Mayahudi mashenzi sana. Haonwairan wakubali ukweli na wakae kwa kutulia tu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…