Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Pakistani siku hizi ni Irani. Mod futa huu uzushi
Screenshot_20240929-173411.png
 
Iko hivi, kuna watoto, wanawake, na raia wasio na hatia wanauwawa kinyama kutokana na vita vilivyoanzishwa na hivi vikundi.

Sasa kwa kuwa wameikataa amani au tuseme wanabariki watoto, wanawake na wote wasio na hatia waendelee kuuwawa basi inapotokea mmoja wa waanzilishi anakuwa eliminated ndo shangwe unazoziona humu.

Sio kitu kizuri but ukiziona picha na video za raia wanaokufa kinyama kutokana na huu mzozo unakosa namna ya kutofurahia.

Au mtu aje hapa atueleze Lebanon alikosa nini hadi kuingizwa kwenye huu mzozo? Hezbollah kwanini wasingelaunch mashambulizi yao kutokea Gaza?
Haya makundi pamoja na Iran yao wapo very weak wangeacha kwanza kumchokoza Israel mpaka watakavyokuwa na capacity. Vinginevo ni kujitafutia matatizo
 
Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi.

Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea.

BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD

Reports are coming in of a helicopter crash in western Iran, carrying Iranian leaders and Houthis.


No official word on casualties yet as investigations continue.


Source: Al Jazeera
Nabii Netanyahu kavurugwa
 
Ukiwa kiongozi wa Iran au Hezbollah katika ku opt usafiri upi wa kutumia ili uwe salama utaona bora baiskeli kuliko Chopper.

Wamejaribu kuepuka simu za kisasa watumie pager nako hali sio shwari.

Hawa jamaa wangejisalimisha tu hakuna faida yeyote wanayoipata ya kuishi huku unaangalia nyuma ya mabega na hata dalili za kushinda hiyo vita huzioni.
 
Iran lazima itapigwa ni wachovu na watapigwa vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom