stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Pole sana ndg. Ni vile hajui tu maumivu ya msiba.Hivi huna kazi za kufanya kila dk na iran,israel,palestine,nk.
Lima hata bustani basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndg. Ni vile hajui tu maumivu ya msiba.Hivi huna kazi za kufanya kila dk na iran,israel,palestine,nk.
Lima hata bustani basi
Mtoto kautaka!Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi.
Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea.
BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD
Reports are coming in of a helicopter crash in western Iran, carrying Iranian leaders and Houthis.
No official word on casualties yet as investigations continue.
Source: Al Jazeera
US huyu huyu mnaesemaga aliwashindwa watalebani?hii jeuri hii ni kutoka US
Bila shaka Ariel Sharon alokuwa zaidi, maana nakumbuka kipindi fulani akiwa waziri wa ulinzi aliwamwagia kokoto waandamaji wa kipalestina akitumia helkopta. Pia Israel ilovamiwa wakati wa sherehe kubwa ya Yom Kipur aliingia front peke yake kuwasimamisha wamisri huku General Zwinker akiwakabili Syria milima ya Golan.Huyu Mwamba kuna rekodi tayari ameshaitengeneza hapa duniani.
View attachment 3110318
View attachment 3110320
Halafu kulikuwa na huyu mwamba mwingine aliyeitwa Ariel Sharon. Waarabu walihisi wameletwa duniani kimakosa sana.
View attachment 3110323View attachment 3110324View attachment 3110325
Hapa wapo pamoja👇
View attachment 3110326
Utachagua mwenyewe, nani zaidi kati yao
Walikiwa kila mataifa yakipinduka na habari za mipaka na anawaambia mnapoongelea habari za mipaka hakikisheni ni ile iliyotajwa kwenye Biblia na si vinginevyo.Bila shaka Ariel Sharon alokuwa zaidi, maana nakumbuka kipindi fulani akiwa waziri wa ulinzi aliwamwagia kokoto waandamaji wa kipalestina akitumia helkopta. Pia Israel ilovamiwa wakati wa sherehe kubwa ya Yom Kipur aliingia front peke yake kuwasimamisha wamisri huku General Zwinker akiwakabili Syria milima ya Golan.
Huyu Sharoni sera yake ilikuwa mipaka ya Biblia opatikane na Yerusalem moja hakuna mashariki na magharibi
Kuna huyu kiumbe kingine kinacho itwa Bezalel Smotrich.. Huyu hawez kupewa PM hata kwa dk 1Naskia huyo ndo hafai kabisa.kuna kikao kimoja alisusa kwa kumlaumu mzee Neta eti kazidisha upole kwa kobazi
Wanaoielewa vita wanajua kwanini kuna umuhimu baadhi ya silaha ujue kutengeneza mwenyewe pesa tu bila maarifa vitani utafanyiwa umafia,,, ndo maana mrusi,marekani ,china , israel japo pesa wanayo ila hawabweteki kusema watanunua kwa mwingine kwa usalama wao wanajua lazima zana zao za kivita watengeneze wenyewe,,,,,,Iran angekua anatengeneza vitu vyake mapema rais wao asingepata ajali kwenye ajali ya helicopter bell inayotengenezwa na mmarekani..........mwarabu kabweteka halafu anaitaka vita anadhani pesa ya mafuta itampeleka mbali vitani,,,,silaha zote wananunua aidha kwa mmarekani ,china au mrusi siku hao jamaa wakiamua kumalizana dili zao juu kwa juu mwarabu kaumia maana hata hizo ndege zenyewe unaweza kuamka asubuhi hata haziwakiHii ni biashara hakuna cha kafiri wala nani, muhimu uwe na silaha za kudungua ndege
Duh!Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi.
Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea.
BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD
Reports are coming in of a helicopter crash in western Iran, carrying Iranian leaders and Houthis.
No official word on casualties yet as investigations continue.
Source: Al Jazeera
Mkuu ni huzuni ila tutafanyaje sasa? Mtu anachokonoa mzinga wa nyuki halafu anakaa chini hapo hapoHumu mbona km mnashabikia mauaji
Wote wawili ikiwemo huyo aliyetangulia mbele ya haki, mikono yao imejaa damu za maelfu ya Waarabu/Wapalestina.Huyu Mwamba kuna rekodi tayari ameshaitengeneza hapa duniani.
View attachment 3110318
View attachment 3110320
Halafu kulikuwa na huyu mwamba mwingine aliyeitwa Ariel Sharon. Waarabu walihisi wameletwa duniani kimakosa sana.
View attachment 3110323View attachment 3110324View attachment 3110325
Hapa wapo pamoja👇
View attachment 3110326
Utachagua mwenyewe, nani zaidi kati yao
Netanyahu atawalisha hao Punda mabomu baada ya kilometres kadhaa linalipukaaaaKinachofuata ni marufuku ya kutumia vyombo vya usafiri vya kisasa badala yake watatakiwa kutumia Punda au Farasi tu na baiskeli za miti.
Duh Ila hii kejeli , wafuasi wa Iran hawakubali 😄😄😄Kinachofuata ni marufuku ya kutumia vyombo vya usafiri vya kisasa badala yake watatakiwa kutumia Punda au Farasi tu na baiskeli za miti.