Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Neta kichaa tu anafurahia nini kila siku missile zinaland israel huu ni ujinga anahatarisha existence ya taifa lake huku akijali zaidi political carrier he choose to save himself than his people
Wewe ulitakaje? Watu watekwe na kuuliwa halafu yeye acheke na wauaji kisa akiwagusa watarusha makombora. THUBUTU
 
Iran naona maneno mengiii kuliko vitendo,kila wakati wanabutuliwa tu, kiongozi wao mkuu Ayatollah kazi yake kulaani tu na kutishia bila vitendo
 
Neta kichaa tu anafurahia nini kila siku missile zinaland israel huu ni ujinga anahatarisha existence ya taifa lake huku akijali zaidi political carrier he choose to save himself than his people
Nina hakika hi statement hata wewe mwenyewe huiamini
 
Kupatwa Kwa WaarabuKupatwa Kwa Waarabu.
Kupatwa Kwa Waarabu
5
Kupatwa Kwa Waarabu.
 
Jamaa wana vichaa wa kutosha huko kwenye bunkers wamewafungia wanawaonyesha video za October 7 tu😅
Umesema kweli aiseeee, naona. Kila dakika wanarudia video ya 7/10, kujipandishia mzuka/mori/hasira kama wamasai. Ne wengine wamejifungia maabara na vyumba vya IT kuratibu michongo na kufanya tafiti ngumu kijeshi.
 
Aisee kwa hicho kipigo, Hezbollah wanabidi waachane tu na hio biashara ya vita,wafanye hata kazi ya kueneza dini tu 😊
 
Arab media reports that contact with Maher Assad, the brother of Syrian President Bashar, has been lost.
According to the same reports, he was in a building that was attacked by Israel earlier today in the Yaafur area near Damascus.

Maher Assad was the commander of Division 5 in the Syrian army and an Iranian proxy, namely the enabler of Hezbollah in Syria!
 
Back
Top Bottom