Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue.Kutiana nuksi tu mwisho wa mwaka....
Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ?Ndio mkuu. Vyuma mpaka huku
Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue.
Ndio hivo mzee kakaKwahiyo ataanza mwaka fresh...
Basi nimejifunza kitu KIPYA hapa!!!
Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ?
Duùu. nikajua unatumia aifoni seven mkuuNdo hiyo naitumia
Jamani umenishutua kinoma kwa comment yako....Mimi nakutia nuksi??
Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi.
Duùu. nikajua unatumia aifoni seven mkuu
huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravoNdo hiyo naitumia
huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravo
Mwenyewe kanielewa vibaya.Ndio hivo mzee kaka
Rafiki mimi navuta nyota, rudisha urafiki wetu tupendane na kuaminiana tena.
Tumia pc kitakaaHumu nimeahindwa kukileta
Possible ways ni WhatsApp and Email
Tumia pc kitakaa
Impossible kivipi? ??Impossible
Sawa mkuu. hiyo simu janja yako ikizima. Nistue nkupushie nyingineHamnaa
Impossible kivipi? ??
Very few of you mmebaki hapa duniani.I'm humbled. Thank you mkuu