Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Joyce kiria sio mfano wa kuigwa hata kidogo katika jamii.
 
Kumbuka alimfitini dj Nelly
 
Mmh!! Inawezekana mkuu.
 
Afu na ww sijui ulitoka wapi kwenda kuoa beki 3 afu mtaliki. Acha udhalilike sasa

Itabidi huyo dada aende kwenye Living Church for deliverance bila hivo ataendelea kuolewa na kuachika mpaka kiama!Ibilisi lipo kazini hapo na Wachungaji wengi hawana uwezo wa kufanya kazi wao na panda mbegu tu lakini kumuita Christu wa kweli ni ngumu.
 
Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......
Umenikumbusha movie ya Slumdog Millionaire: "Maman never forgets."

Ujumbe kwa wanajukwaa wote: "JF never forgets"
 
Weka na audio mkuu
 
Mwacheni aongee nyie mnataka apigwe akae kimya mwisho atatolewa meno ndani ya nyumba ,,🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…