Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......
Umesomeka mkuu
 
usitufokee..
 
Hahhaahahah.Kumbe ulikuwa unajianzishia thread Chef. Mimi siku nikiverify hii account nitawaomba wafute thread zote nilizoanzisha,wafute comments zote. Si kwa aibu hii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera sana Kamanda kwa Kufunga Ndoa na Joyce Kiria.
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Hahahahaha kamanda uliandika huu Uzi ukiwa na fake ID Sasa ukabadili bila kuufuta huu Uzi

Inaonekana ulijipigia promo[emoji1][emoji1][emoji3577][emoji3577]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitasoma mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…