Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......
Umesomeka mkuu
 
usitufokee..
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Hahhaahahah.Kumbe ulikuwa unajianzishia thread Chef. Mimi siku nikiverify hii account nitawaomba wafute thread zote nilizoanzisha,wafute comments zote. Si kwa aibu hii. 😂😂😂
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Hongera sana Kamanda kwa Kufunga Ndoa na Joyce Kiria.
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Hahahahaha kamanda uliandika huu Uzi ukiwa na fake ID Sasa ukabadili bila kuufuta huu Uzi

Inaonekana ulijipigia promo[emoji1][emoji1][emoji3577][emoji3577]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitasoma mwanzo mwisho
 
nelly.jpg
kumbe kaachika mara mbili au
 
Back
Top Bottom