Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Naona ulijipa ujiko hapaWatu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Ha ha haNaona ulijipa ujiko hapa
HAHAHAHAHHAHA itakuwa we mwenyewe unakufa mbavu na hii thread.<br />
<br />
Dua la kuku halimpati mwewe
Yeye ndio kafunga hiyo ndoa halafu anatuambia amejifunza kitu kupitia harusi hiyo.Sasa amejifunza nini kama zwazwa vile[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]make kwanza ncheke miyeeSiyo KILEO ni KILEWO ile ya marangu kiukweli kaka yetu anajua kuchagua na mtoto wao tulimuona
π€£πKumbe huwa mnajipogia promo humuYule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Marioo alishatupiwa viragoHappy anniversary
Anniversary which? Who? Why? Where? When?π€£π€£π€£π€£Happy anniversary
Asee hii ndo Own GoalYule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Marekebisho kidogo:
HENRY KILEO.na sio KILEWO
Nawatakia kila la heri kwenye muafaka mpya wa maisha yao ya ndoa.
UmupangaaHuu uzi ππππ