Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

hii kwangu ni fursa nipeni namba ya JOY ,Ile kitu haina makombo
 
Kumbe ww dogo ni kichwa maji sasa hapo ndio umeandika nn?
 
Itakuwa kabla hajawa verified... ila ndio sio rahisi kukaa chini na kurudia posts zote..

Bora alijitangazia ndoa yake.. wewe msomaji unajivunia nini hapo ulipo kama umemcheka huyu kaka aliyemdakua Joyce alipokuwa ni mke wa DJ Nelly?
 
Hili la kuolewa tena X2. Sasa mtu anaweza kuconnect Dots na video yake Istragram- Kujiweka public kuhusiana na Matatizo ndani ya Familia yake na hasa Kauli ya eti yeye ndiyo mlipaji wa ....( Maana yake anamsema mzazi mwenzie ni Mwanaume suruali)! Kama alikuwa ameamua kutoa nyongo yake angeishia kusema kupigwa kwakwe Tu. Hili la eti mimi ni ....ni kujianika kuwa yeye ni mwanamke wa aina Gani!
 
Kilewo toka zamani hana hela alimuoa Joyce ili alelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…