Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

hii kwangu ni fursa nipeni namba ya JOY ,Ile kitu haina makombo
 
Yule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.
Kumbe ww dogo ni kichwa maji sasa hapo ndio umeandika nn?
 
Itakuwa kabla hajawa verified... ila ndio sio rahisi kukaa chini na kurudia posts zote..

Bora alijitangazia ndoa yake.. wewe msomaji unajivunia nini hapo ulipo kama umemcheka huyu kaka aliyemdakua Joyce alipokuwa ni mke wa DJ Nelly?
 
Hili la kuolewa tena X2. Sasa mtu anaweza kuconnect Dots na video yake Istragram- Kujiweka public kuhusiana na Matatizo ndani ya Familia yake na hasa Kauli ya eti yeye ndiyo mlipaji wa ....( Maana yake anamsema mzazi mwenzie ni Mwanaume suruali)! Kama alikuwa ameamua kutoa nyongo yake angeishia kusema kupigwa kwakwe Tu. Hili la eti mimi ni ....ni kujianika kuwa yeye ni mwanamke wa aina Gani!
 
Kilewo toka zamani hana hela alimuoa Joyce ili alelewe
 
Back
Top Bottom