Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Haya mambo ya kujianika anika kwa mbwembwe mweeee 2011 ona uzi unatrend leo 2024..bado na wajukuu wao watausoma..23people are here ,πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila si alitumia Id halisi kujisifia? Au ilikuaje? Maana ukirudi mwanzo wa uzi ni id halisi.
 
Alitumia kibacha mwanzoni hata ukisoma katikati ya post yake,badae wakamuunganisha ile yake halisi hahaha maajabu sana
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom