Sasa hizo nchi zinaahirishaje Uchaguzi wakati wana mifumo mizuri ya Uchaguzi inayotoa haki sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki?Uliona wapi Rais akizuia uchaguzi usifanyike? Ni nchi Gani hiyo duniani?
Ni heri ya kutoka jasho nyingi wakati mambo hayajaribika ili kuepusha kutoa damu nyingi wakati mambo yakishaharibika. Ni heri kuzima cheche kabla moto haujawaka. Watupishe aloo.
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Waya umeme mbaliUmeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya
Sumu ya panya umekwenda mbali.Waya umeme mbali
Sumu ya panya
Rwanda na Uganda Kuna mifumo Gani inayotoa majibu halali ya uchaguzi? Trump anadai aliibiwa kura na Biden mbona hawakufiuta uchaguzi? Trump alinusurika mara 3 kuawa wakati wa kampeni mbona uchaguzi haukusitishwa ili wafanye uchunguzi na Wala ulaya hawakutoa neno? Tuache kuwa vikaragosi vya Magharibi.Sasa hizo nchi zinaahirishaje Uchaguzi wakati wana mifumo mizuri ya Uchaguzi inayotoa haki sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki?
Lakini na hawa Wanaotekwa,Kupotezwa na kuuawa tu kwa sababu wameukosoa utawala?
Hatuwezi kufa njaa au kukosa misaada kwa sababu ya Watu wachache wenye uchu wa kubaki madarakani kwa damu za wananchi!
Pesa za ndani CAG kasema mnaziiba zote kila kona mnaiba na pesa zote mnazitumia kwenye matendo haramu ya kishetani kuwabambikia kesi chadema kuwatumia Polisiccm kupiga wapinzaniMungu akusamehe. Hivi hao wanatupa misaada au wanaturejeshea kidogo kutoka kwenye kile wanachotuibia?
Hiyo ni lugha ya kibaraka. Hata Nabii Suleiman angemuuliza kuhusu hilo angekwambia huna nia njema na taifa na watanzania. Vikwazo vinawatesa raia kuliko viongozi. Maduro, Mugabe/Mnangagwa, Putin, Iran, nk Kuna vikwazo lukuki mbona viongozi wanadunda tu?Me naona Kwa ukandamizaji huu, Misaada ipigwe pin tu
Pesa zako na makusanyo ya kodi toka TRA zote mnazikwiba mnazitumia kudhoofisha chadema kununua G55 kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tijaRwanda na Uganda Kuna mifumo Gani inayotoa majibu halali ya uchaguzi? Trump anadai aliibiwa kura na Biden mbona hawakufiuta uchaguzi? Trump alinusurika mara 3 kuawa wakati wa kampeni mbona uchaguzi haukusitishwa ili wafanye uchunguzi na Wala ulaya hawakutoa neno? Tuache kuwa vikaragosi vya Magharibi.
Huo mfano ndiyo unawapa ccm kuiba pesa za walipa kodi kodi kisha kwenda kuzitumia kwenye mambo ya hovyo ilikwemo kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwateka na ujinga mwingiHiyo ni lugha ya kibaraka. Hata Nabii Suleiman angemuuliza kuhusu hilo angekwambia huna nia njema na taifa na watanzania. Vikwazo vinawatesa raia kuliko viongozi. Maduro, Mugabe/Mnangagwa, Putin, Iran, nk Kuna vikwazo lukuki mbona viongozi wanadunda tu?
Wanakuibia nini wewe lofa!!??Mungu akusamehe. Hivi hao wanatupa misaada au wanaturejeshea kidogo kutoka kwenye kile wanachotuibia?
Uhuru gani wa kuuwa kupotezwa na kupiga viongozi wa dini na watu? Halafu unataka Dunia ikuache tu.Uhuru wetu utakuwa mashakani
Uhuru gani wa kuuwa kupoteza na kupiga viongozi wa dini na watu? Halafu unataka Dunia ikuache tu.
View attachment 3329849View attachment 3329850View attachment 3329851View attachment 3329852View attachment 3329853View attachment 3329854