Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Umeshawahi kuona serikali inawaroga wananchi wake.

Mwenge wa Uhuru ndo unaleta uzombi wote huu. Mark my words
 
Kwani Wafanyakazi wako wakigoma ukawaambia rudini kazini njoo tuyajenge Wenyewe wanasema haturudi tuyajenge hapa hapa utaendelea kuwaacja waharibu Mali Yako?
Kwanza tujiulize....., katika nchi, wananchi na hawa viongozi (watumishi) nani ni mfanyakazi na nani ni mwenye mali ?
 
Wewe unazijua?
 
Kwahio wewe mtu akikuacha uongee hata kama hakusikilizi wala kufuata kile ambacho yeye kama mtumishi wako hakifuati wewe kwako unaona hio ni Demokrasia ? (Demokrasia ya Kupiga Porojo)
Sio lazima usikilizwe,wewe ongea ukichoka acha .Ni Demokrasia ndio.
 
Hata unajua maana ya Udikteta au Demokrasia ?

Ungejua hayo basi ungeelewa kwamba wewe upo kwenye Udikteta kwa Maigizo ya Demokrasia (Hence gharama inatumika kubwa sana kwenye hio Tamthiliya wakati in the end hakuna Demokrasia yoyote); Unless unaridhika na mediocrisy...
 
Partial democracy hufungwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.

Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Alishawaoa mkuu 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio lazima usikilizwe,wewe ongea ukichoka acha .Ni Demokrasia ndio.
Kwahio wewe kwa mawazo yako unadhani Freedom of Speech ndio the only ingredient ya demokrasia ? Yaani ukiachwa ubwabwaje wakati wanasema kelele za Chura hazimzuii Ng'ombe kunywa maji wewe unajiona umefika ?

Kweli safari bado ni ndefu....
 
Bado wanatamani, hawajui enzi ziliisha?
 
Kwahio wewe kwa mawazo yako unadhani Freedom of Speech ndio the only ingredient ya demokrasia ? Yaani ukiachwa ubwabwaje wakati wanasema kelele za Chura hazimzuii Ng'ombe kunywa maji wewe unajiona umefika ?

Kweli safari bado ni ndefu....
Zingine zipi ambazo hazifanyiki?
 
Ipi Bora kutokusema na kusema bila kumaliza ulilodhamiria kusema
 
Ndio maana ya partial democracy hutakiwi kuvuka mstari.Unaambiwa andamana ila njoo tuzungumze hutaki Sasa ulitaka wamchekee? Hata Kwenye Demokrasia hakuna ujinga kama huo.
Ni heri kuwa wa moto au wa baridi kuliko kuwa vuguvugu
 
Kwamba Kiongozi / Mtu ndio ana utashi wa kumwaga au kutokumwaga mabilioni wapi na wakati gani ? And you call that Democracy ? Hii definition yako ya Demokrasia ungejua Demokrasia ya kweli huenda usingeridhika na haya Maigizo.

Kwa ufupi Udikteta ni Mbaya (unless ni from a Benevolent Dictator hata hivyo ni mbaya sababu mtu mmoja hawezi akawa na akili kuliko wengine)..., Mbaya zaidi ni kuwa na huo Udikteta hapo juu alafu kuufunika na uongo / propaganda kwamba ni demokrasia (Sababu Demokrasia ni Gharama hence Kutumia Gharama kwenye Uongo / Maigizo ni Worse)
 
Demokrasia ya kweli according to nani? Kwa taarifa Yako Demokrasia Haiko uniform
 
Ukweli upi na uongo gani? Partial democracy is real ni sawa na mixed economy Sasa hapo Kuna shida gani unaiona?

Narudi kwenye statement yako ya kwanza “Bora maigizo maana yanakupa nafasi ya kupumua”

So to you ,kuwa na gov inayo pretend kufanya jambo fulani ni bora?
How?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…