ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Probably yasinhetokeaHow has one got to do anything with the other ? Kwahio wasingekuwa na Katiba Mpya (which kwangu ni immaterial sababu tatizo sio upya ni uzuri) je hayo yaliyotokea yasingetokea ?
Labda ningekuona una point ungesema since Katiba ni Sheria na Sheria zilizopo sasa zinavunjwa ni miracle gani itafanya sheria zinakazotungwa / rekebishwa kesho kutokuvunjwa...
Nguvu ya Umma; Rule of People, for the People and by the People...., Huo ndio mzizi dēmokratia, which was coined from dēmos (“people”) and kratos (“rule”)Demokrasia ya kweli according to nani? Kwa taarifa Yako Demokrasia Haiko uniform
Hilo siyo jibu bali umethibitisha nisemayoUpuuzi na kuishiwa
Ndio ulivyokarieishwa na Westerner si ndio? Basi kuna African DemocracyNguvu ya Umma; Rule of People, for the People and by the People...., Huo ndio mzizi dēmokratia, which was coined from dēmos (“people”) and kratos (“rule”)
Sasa wewe kama unayo ya kwako ni bora na jina ukatafuta lako sababu kama kwenye jina kuna UMMA / WATU alafu wewe unaona Genge au mtu fulani ndio ana hati miliki ya kuamua alafu bado unaita hio Demokrasia inabidi turudi kwenye Kamusi....
Wale Wanzibar waliojaa UK Leicester, Reading n.k. ni Watalii ?Kwa nini niwadanganye? Nawaeleza kilichopo.Umewahi sikia Watanzania wanakimbia Nchi Yao kama hao mnaowasikia wanafia kwenye malori na baharini Mediterania?
Tena Serikali iendelee kupiga Pini Machadema hivi hivi wasituletee blaa blaa zisizo na msingi.
Aliyewakataza kurudi Tzn ni nani?Wale Wanzibar waliojaa UK Leicester, Reading n.k. ni Watalii ?
Je watanzania wanakaa / wanapenda nchi yao sababu ya Maliasili nyingi, Utajiri naturally wa Nchi; Ukarimu wa wananchi au ni Sababu ya Ulafi, Uroho na Kebehi za Walamba Asali ?
If anything kukosa Busara kwa viongozi wa sasa ndio kutaharibu Taifa la Kesho..., Badala ya kujikita kwenye Sera za kuongeza Ajira zenye Ujira kwa wananchi ili kuondoa Umasikini wanajikita kwenye Propaganda sizizo na Mwisho....
Westerner wapi huo ndio mzizi wa neno Demokrasia ambalo limetoka kwenye neno la Kigiriki....;Ndio ulivyokarieishwa na Westerner si ndio? Basi kuna African Democracy
Hivi unajua au unafuata mtiririko wa unachosema ?Aliyewakataza kurudi Tzn ni nani?
Hamia Marekani kwenye demokrasia ya kweli ambako Hillary Clinton alishinda wananchi walimchagua ila wale watu 240 wanaoitwa Electoral College wakampiga chini na kura zake zikawa hazina maana. Duniani hakunaga demokrasia.. cha muhimu tuishi kwa mujibu wa sheria.Hata unajua maana ya Udikteta au Demokrasia ?
Ungejua hayo basi ungeelewa kwamba wewe upo kwenye Udikteta kwa Maigizo ya Demokrasia (Hence gharama inatumika kubwa sana kwenye hio Tamthiliya wakati in the end hakuna Demokrasia yoyote); Unless unaridhika na mediocrisy...
Mlishaambiwa mhamie BurundiUmekula mzee? au ndo ndo unasubiri mkutano ya Chama mmepewe posho ya kodi zetu muone mmemaliza maisha uku ukisubiri teuzi za UVCCM
And how is that a good thing ? Yaani hao wanaolalamika kwamba maisha ni magumu in reality maisha yao ni mazuri kuliko majority..., Thus mambo ni mabaya zaidi, Sasa nani wa kulaumiwa kwa hali hio kama sio watunga Sera ?Bahati mbaya hakuna Serikali ya kukutafutia maisha.Hao walimu mnaowataja Wana maisha mazuri kuliko Watumishi wengi wa Halmashauri na Wizarani.
Huwezi uka-compare mwanaridha kipofu na mwanariadha anyeona yaani unatafuta weakness iliyotokea kwenye Awamu iliyopita una-compare na kilichopo sasa wakati kuna mazuri kipindi kile kuliko sasa wala haufanyi comparison..., vilevile unasahau kwamba hata hawa waliopo sasa ndio kipindi kile walikuwepo..., Mbaya zaidi tunazidi kurudi nyumaNa Mimi nasema waulize wakulima wanataka warudi Misri au safari iendelee? Waulize Wafanyabiashara wanataka warsudi Misri au safari iendelee? Na mwisho Uliza Watumishi Kwa ujumla wanataka warudi Kwa Sera za Mwendazake au tusonge mbele?
Unahangaika kuijaza empty set kakaAnd how is that a good thing ? Yaani hao wanaolalamika kwamba maisha ni magumu in reality maisha yao ni mazuri kuliko majority..., Thus mambo ni mabaya zaidi, Sasa nani wa kulaumiwa kwa hali hio kama sio watunga Sera ?
Huwezi uka-compare mwanaridha kipofu na mwanariadha anyeona yaani unatafuta weakness iliyotokea kwenye Awamu iliyopita una-compare na kilichopo sasa wakati kuna mazuri kipindi kile kuliko sasa wala haufanyi comparison..., vilevile unasahau kwamba hata hawa waliopo sasa ndio kipindi kile walikuwepo..., Mbaya zaidi tunazidi kurudi nyuma
Akili na utashi vilitolewa bure na muumba sijui miltorokaMlishaambiwa mhamie Burundi
Aliyesema Marekani inafaa ni nani ? Kwahio Marekani anapopotoka na sisi tupotoke au tuendeleze Maigizo sababu na Marekani kuna Maigizo ?Hamia Marekani kwenye demokrasia ya kweli ambako Hillary Clinton alishinda wananchi walimchagua ila wale watu 240 wanaoitwa Electoral College wakampiga chini na kura zake zikawa hazina maana.
Hizo sheria anatunga nani na kwa ajili ya nani ? Sasa huoni kama Sheria hizo watu wameshiriki kuzitunga na kuzikubali hio ndio mwanzo wa Demokrasia yenyewe ? Je hizo Sheria zinafuatwa au walamba asali wanafuata kile ambacho ni convinient kwao ?Duniani hakunaga demokrasia.. cha muhimu tuishi kwa mujibu wa sheria.
Jomba mbona unanililia sana aisee? Nilikuandikia barua ya kukuomba uzaliwe Tanzania? Ndo umeshakuwa Mtanzania hivyo hakuna namna. Kaa kwa kutuliaAliyesema Marekani inafaa ni nani ? Kwahio Marekani anapopotoka na sisi tupotoke au tuendeleze Maigizo sababu na Marekani kuna Maigizo ?
Hizo sheria anatunga nani na kwa ajili ya nani ? Sasa huoni kama Sheria hizo watu wameshiriki kuzitunga na kuzikubali hio ndio mwanzo wa Demokrasia yenyewe ? Je hizo Sheria zinafuatwa au walamba asali wanafuata kile ambacho ni convinient kwao ?
Kusafiri kwa pesa ya nani ? Mshahara wako au Pesa ya Mlipa Kodi ? Kama ni the latter that was the good thing sababu Safari za hawa wadau sijaona value for money.... zaidi ya kuweka dent kwenye our coffers...Mwendazake hakuruhusu hata kusafiri
Baada ya hapo kipi Cha maana mlifanya?Kusafiri kwa pesa ya nani ? Mshahara wako au Pesa ya Mlipa Kodi ? Kama ni the latter that was the good thing sababu Safari za hawa wadau sijaona value for money.... zaidi ya kuweka dent kwenye our coffers...
Ukishajua au ungejua Nchi / Taifa ni la mwananchi wala usingesema unayosema..., Na ungejua kwamba Demokrasia ni Rule / Power to the People basi hata wewe ungeelewa kinachofanyika ni maigizo...Jomba mbona unanililia sana aisee? Nilikuandikia barua ya kukuomba uzaliwe Tanzania? Ndo umeshakuwa Mtanzania hivyo hakuna namna. Kaa kwa kutulia
Kwahio sababu hakuna cha maana kilichofanyika kwa kutokufuja pesa basi ni halali kwa hawa wafuje pesa ?Baada ya hapo kipi Cha maana mlifanya?