Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Apitizer muhimu, yaani tukifika shughuli ni moja tu, kui sasa ndio atatupa shida maana kamezoea vitu laini laini, sijui tukaache tu!!!
Kabaki tu hako. Afu tukikuta mlenda ndo katatutia aibu kabisa, badala ya kuzungusha tonge katakata mlenda Kwa mkono. Hizi x-pozha sio za sport sport
 
Hata hatutohangaika nae, tunakuwa busy kama hatukaoni, maana katataka sijui uma na kisu, hivi unashibaje kula na vitu vya ajabu hivyo.

Basi nimekumbuka tulikuwa na safari ya kishule ya kwenda Sweeden, mkuu akatupeleka hotelini kutufundisha table maners na matumizi ya ya uma,vijiko na glass mbalimbali, aisee ilikuwa full vicheko. Khaaaah!!! Mambo mengine kuchoshana tu.
 
Aaaaah nimefuta urafiki na nyie aisee, kumbe ulishakwea pipa kubwa. Mie mpaka wangu ni Tunduma tu, kuanzia leo sitaki ushirikiano na wewe na kui khaaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mama mi sikwenda bwana, khaaaah!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom