Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Leo ni siku yetu – Siku ya Wanawake! Ni siku ya kutafakari juu ya safari yetu, nguvu zetu, na mchango wetu kwa jamii. Wewe ni shujaa, mwenye bidii, na mwenye thamani kubwa. Changamoto unazopitia ni ushahidi wa uvumilivu na uwezo wako wa kushinda kila hali.


Heri ya Siku ya Wanawake!
Mshangazi dot com Depal
Joanah Saint Anne Carleen
Lamomy binti kiziwi Joannah
Na wengine wote muwe na siku njema vipenzi 😊😊😊
 
Hahaha kwaio bila makeup sahivi hutoboi.

Chama kipo hadi hapo utapeli utakapothibitika kukoma.
Zamani ATCL walikuwa hawataki makeup na surgery, naona sahv wanapaka tu na wanafanya.
Bahati niliacha, ila huku nilipo sasa, bila make up hutoboiπŸ˜“πŸ˜“
Au mnataka tutishe abiria mpaka marubani?

Halafu wala sio utapeli, kwani mnashikiwaga kisu kutoa pesa au kuoa?
Si mnatoa kwa hiari?
Na bado!!!
Ndio kwanza 8 March, mpaka ifike 31 December mko nyang'anyang'a kwa kuwatapeli.
 
Hahaha aya bana siwawezi na make up zenu, uwe na siku njema kama unapenda movies angalia 2037(Korean) ila ujiandae kulia.
 
Hahaha aya bana siwawezi na make up zenu, uwe na siku njema kama unapenda movies angalia 2037(Korean) ila ujiandae kulia.
Sawa, nawe nikutakie maandalizi mema ya kujiandaa na Derby (kama bado ipo)
Hapa naangalia A wolf Man -2025
 
Her majesty Mallerina😍
 
Thank you
 
Thank you dearest Sophy
Happy women's day to all women out there
Sisi ni jeshi kubwa.
 
Aaliyyah Shuqraan sana kipenzi changu, unajua namna Mimi na wewe tulivyokutana sivyo..??
tusingekuwa na hekima leo tusingekuwa hapa..!!
Nakupenda cha upole wangu..!!❀️❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…