Chagua urudi nyuma au uende mbele πWee em sema kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mimi ni DEMU.
Wewe ni mchicha wa porini πMimi ni DEMU.
I appreciate that very much π₯°β€οΈSisterhood inajivunia kua na wewe π
DEMUWewe ni mchicha wa porini π
Usijali soda umepataNdio tununulie soda π
[emoji1787]watacheza tu sio mara ya kwanza kugomea mechi.Ila mbona sisi tumeambiwa twende uwanjani?
Asa tutacheza na nani?
Naenda kushoto au kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chagua urudi nyuma au uende mbele [emoji16]
Leo wana shughuli yao wanahofia vitenge walivyoshona vya sare watavivalia wapi wasipovivaa leo, wakikubali tu kuleta timu uwanjani tunawaharibia siku yao.Kumbe leo ni siku Yao ndio mana wanaringa kuleta timu LUPASO πππ . ME NLISHASEMA KUNA SIKU MTU ANAGOMA KUINGIA GROUND AISEE
Sawasawa.[emoji1787]watacheza tu sio mara ya kwanza kugomea mechi.
πππ Na kwako pia wifi yangu kipenzi.!!Leo ni siku yetu β Siku ya Wanawake! Ni siku ya kutafakari juu ya safari yetu, nguvu zetu, na mchango wetu kwa jamii. Wewe ni shujaa, mwenye bidii, na mwenye thamani kubwa. Changamoto unazopitia ni ushahidi wa uvumilivu na uwezo wako wa kushinda kila hali.
Heri ya Siku ya Wanawake!
Mshangazi dot com Depal
Joanah Saint Anne Carleen
Lamomy binti kiziwi Joannah
Na wengine wote muwe na siku njema vipenzi πππ
Asanteee mwaya kipenziiiKheri siku ya wanawake kwako SweetyCandy wangu na mke mwenza Mallerina ujumbe nawapenda sana.
mwaaaaaaaaah.Asanteee mwaya kipenziii