Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Na ndo maana hadi kufikia hii siku tayari nina kitu changu cha kuniingizia pesa 😝bila kumtegemea huyu kiumbe
 
Nipo hapa na mrembo machachari wa jf, tunachoma utumbo wa mbuzi na togwa kwa pembeni.
Tuwatunze na tuwapende pia, hasa wale wasio omba omba na ya kutolea.​
 
Naitakia Yanga SC heri ya siku ya wanawake
 
Reactions: EEX
Aaliyyah Shuqraan sana kipenzi changu, unajua namna Mimi na wewe tulivyokutana sivyo..??
tusingekuwa na hekima leo tusingekuwa hapa..!!
Nakupenda cha upole wangu..!!❀️❀️
Asante dear
Hekima ni muhimu Sana kwakweli
Mimi nashukuru Kwa kuniamini najua haikuwa rahisi kipenz
Nakupenda pia Mungu azidi kutubariki
Happy women's day mama
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.


View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 

Happy women's day
Sisi ni wa thamani

Bro Evelyn Salt karibu tusheherekee japo siku haikuhusu
 

Kuna mabroo kadhaa umewamix kwenye list yako

Enwei,asante KENZY
Penzi langu likutese siku zote ameeen
 
Kuna mabroo kadhaa umewamix kwenye list yako

Enwei,asante KENZY
Penzi langu likutese siku zote ameeen
Mh! uje unielekeze hayo ma broo nisije kufakamia nikafakamiwa!..πŸ˜‚
 
Pole sana
Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja.

May her soul rest in eternal peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…