Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

Huyo jamaa ni mbishi bila mantiki anajiona yeye ndiye anajua kila kitu na yuko sahihi muda wote.
 
Team Majungu and mbumbumbu fc at work.

Leo timu yao inacheza! Ila wao wako busy na Yanga, Herci, nk. Halafu timu ikifungwa, wanaanzisha zogo la kumkataa Matola! Wakiotea ushindi, unakuta tena wamo kimya!
Nonsense
 
Huyo jamaa ni mbishi bila mantiki anajiona yeye ndiye anajua kila kitu na yuko sahihi muda wote.
Mnapenda pale inapotokea mnaisema Yanga na mashabiki wake, basi wote tunyamaze kimya! Tukiwajibu kwa hoja, mnatuita wabishi! Tunajua kila kitu! Tunaumia sana!!

Mashabiki wa simba mnakosea wapi! Tuendelee kubishana hivi hivi pasipo kutukanana matusi, wala nini.

Huu mchezo hautaki hasira. Na msisahau nipo humu jukwaani kwa niaba ya wananchi. Mniite tu majina yote mpendayo. Ila sisi mashabiki wa Yanga bado tuko ngangari! Na pia tuna imani na timu yetu.
 
Team Majungu and mbumbumbu fc at work.

Leo timu yao inacheza! Ila wao wako busy na Yanga, Herci, nk. Halafu timu ikifungwa, wanaanzisha zogo la kumkataa Matola! Wakiotea ushindi, unakuta tena wamo kimya!
Kwamba mkuu kwenye hoja ya mleta mada hujabahatika kuona point hata moja yenye mashiko?
 
Malengo yenu ni kuchukua vikombe vya ndani tu?
 
Hiv una miaka mingapi
 
Team Majungu and mbumbumbu fc at work.

Leo timu yao inacheza! Ila wao wako busy na Yanga, Herci, nk. Halafu timu ikifungwa, wanaanzisha zogo la kumkataa Matola! Wakiotea ushindi, unakuta tena wamo kimya!
Kaa kwa kutulia we mzee,acheni viburi, fuateni ushauri wa mwenzenu,🀣🀣🀣
 
Hivi hawa kilichokua kinawafanya wajiite wa kimataifa ni nini hasa?
 
Eng Hersi kwa approach yake ya kuhonga wapiga domo kwa jina la wachambuzi wa soka,ataumizwa sana kimataifa kwa kuwa wamemdanganya timu yake imesajili wachezaji bora Afrika na hivyo watafika fainali.
Hersi alinunua ubingwa msimu uliopita ili apite bila pingamizi kwenye uchaguzi kafanikiwa alifanya umafia kwenye uchaguzi wachambuzi wote wakala bahasha za kaki wakakaa kimya akafanya umafia kwenye mkataba wa uwekezaji wachambuzi wakakaa kimya na haya ndo malipo yake
 
Wewe ndiye unaleta makasiriko yasiyokoma mtu wa Simba akipost kitu juu ya Yanga yako unatoa povu lakini kwenye nyuzi za Simba na wewe umo,utapata vidonda vya tumbo bure,siyo kila post inayotaja Yanga lazima uijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…