Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

Hiyo ni quote ya ambacho ulisema, na rejea tena kusoma utafahamu zaidi.

Kwa maana kuwa usidhani kuwa hawa wanaopinga uongozi ni mamluki wa Simba, tambua hao ni wa Yanga

Tatizo lako huwa uhifadhi maneno au labda unaamua kujitoa tu fahamu

Kuna wiki kadhaa nilikuambia kuwa hata uwe Kiongozi Mzuri kiasi gani kupigwa ni jambo ambalo huwezi kuzuia.

Nikasema CEO Barbara kupingwa ni kawaida tu hata Mshindo Msolla walikuwa wakimpinga huku wakisema ana Kadi ya Simba SC.

Sasa inakuwaje shabiki wa Yanga kupinga uongozi halafu unasibishe na Simba..!!
Huyo jamaa ni mbishi bila mantiki anajiona yeye ndiye anajua kila kitu na yuko sahihi muda wote.
 
Team Majungu and mbumbumbu fc at work.

Leo timu yao inacheza! Ila wao wako busy na Yanga, Herci, nk. Halafu timu ikifungwa, wanaanzisha zogo la kumkataa Matola! Wakiotea ushindi, unakuta tena wamo kimya!
Nonsense
 
Mnapenda pale inapotokea mnaisema Yanga na mashabiki wake, basi wote tunyamaze kimya! Tukiwajibu kwa hoja, mnatuita wabishi! Tunajua kila kitu! Tunaumia sana!!

Mashabiki wa simba mnakosea wapi! Tuendelee kubishana hivi hivi pasipo kutukanana matusi, wala nini.

Huu mchezo hautaki hasira. Na msisahau nipo humu jukwaani kwa niaba ya wananchi. Mniite tu majina yote mpendayo. Ila sisi mashabiki wa Yanga bado tuko ngangari! Na pia tuna imani na timu yetu.
 
Kwamba mkuu kwenye hoja ya mleta mada hujabahatika kuona point hata moja yenye mashiko?
 
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Malengo yenu ni kuchukua vikombe vya ndani tu?
 
Hiv una miaka mingapi
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
 
Team Majungu and mbumbumbu fc at work.

Leo timu yao inacheza! Ila wao wako busy na Yanga, Herci, nk. Halafu timu ikifungwa, wanaanzisha zogo la kumkataa Matola! Wakiotea ushindi, unakuta tena wamo kimya!
Kaa kwa kutulia we mzee,acheni viburi, fuateni ushauri wa mwenzenu,🤣🤣🤣
 
Hivi hawa kilichokua kinawafanya wajiite wa kimataifa ni nini hasa?
20221009_084215.jpg
 
Eng Hersi kwa approach yake ya kuhonga wapiga domo kwa jina la wachambuzi wa soka,ataumizwa sana kimataifa kwa kuwa wamemdanganya timu yake imesajili wachezaji bora Afrika na hivyo watafika fainali.
Hersi alinunua ubingwa msimu uliopita ili apite bila pingamizi kwenye uchaguzi kafanikiwa alifanya umafia kwenye uchaguzi wachambuzi wote wakala bahasha za kaki wakakaa kimya akafanya umafia kwenye mkataba wa uwekezaji wachambuzi wakakaa kimya na haya ndo malipo yake
 
Mnapenda pale inapotokea mnaisema Yanga na mashabiki wake, basi wote tunyamaze kimya! Tukiwajibu kwa hoja, mnatuita wabishi! Tunajua kila kitu! Tunaumia sana!!

Mashabiki wa simba mnakosea wapi! Tuendelee kubishana hivi hivi pasipo kutukanana matusi, wala nini.

Huu mchezo hautaki hasira. Na msisahau nipo humu jukwaani kwa niaba ya wananchi. Mniite tu majina yote mpendayo. Ila sisi mashabiki wa Yanga bado tuko ngangari! Na pia tuna imani na timu yetu.
Wewe ndiye unaleta makasiriko yasiyokoma mtu wa Simba akipost kitu juu ya Yanga yako unatoa povu lakini kwenye nyuzi za Simba na wewe umo,utapata vidonda vya tumbo bure,siyo kila post inayotaja Yanga lazima uijibu.
 
Back
Top Bottom