ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nyinyi mkipigwa mnaenda robo si ndio?Florent ibenge "Master tactician" anataka kuongoza kundi kwa pointi nyingi so huo mchezo na uto hawezi kulegeza uzi.
Kumbuka yanga hawatalinda na wala hawatakaa nyuma watafunguka na ibenge anapenda sana umshambulie wewe kuliko yeye akushambulie wewe.
Kumbuka uto akipigwa na ibenge imeisha.
Mc Alger hata akimfunga Tp Mazembe magoli 9, Yanga anachotakiwa ni kushinda dhidi ya Al Hilal na dhidi ya Mc Alger hata ikiwa goli 1. Ila kama ikitokea kapata sare na Al Hilal hapo ni lazima Yanga ashinde goli 3 kwa 0 dhidi ya Mc AlgerIkitokea Mc Algiers akamfunga Tp Mazembe goli 2 au 3 kwake Yanga atatakiwa kushinda magoli mangapi mechi ya mwisho?
Kwa sababu Mwasibu una gundu, utashangaa Yanga inafuzu eti!! Bora ungejinyamazia zako tu kimya.Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Mnavyorahisisha sasa!! Utafikiri mmeshawafunga.Last game ni Yanga Vs MC Algiers Kwa Mkapa.
Hii Game Yanga anahitaj Zaid ya goal mbil atakiw ashafuzu.
Al hilal Vs Yanga. Hii game tunachukua point. 3
Halafu sekondari wengi walizungusha na f za mathSiku hizi mashabiki wa Yanga wanatembea na Bunda la Rim paper na peni..... ukiwagusia tu habari za Caf wanatoa karatasi na peni wanaanza kupiga mahesabu hapo.
Endeleeni kupiga hesabu za vidole. Jumamos Al Hilal anamkanda uto anafikisha pointi 13 uto anabaki na point zake 4Mc Alger hata akimfunga Tp Mazembe magoli 9, Yanga anachotakiwa ni kushinda dhidi ya Al Hilal na dhidi ya Mc Alger hata ikiwa goli 1. Ila kama ikitokea kapata sare na Al Hilal hapo ni lazima Yanga ashinde goli 3 kwa 0 dhidi ya Mc Alger
Itabidi muanze kunilipaKwa sababu Mwasibu una gundu, utashangaa Yanga inafuzu eti!! Bora ungejinyamazia zako tu kimya.
🤣🤣🤣Siku hizi mashabiki wa Yanga wanatembea na Bunda la Rim paper na peni..... ukiwagusia tu habari za Caf wanatoa karatasi na peni wanaanza kupiga mahesabu hapo.
Yang akimfunga Al hilal basi game na MC Algiers anahitaj ushind wowote ule.Ikitokea Mc Algiers akamfunga Tp Mazembe goli 2 au 3 kwake Yanga atatakiwa kushinda magoli mangapi mechi ya mwisho?
anafungika kirahisi tu, nilishangaa sana 1st leg yanga alipotezaje ile mechi wallah.Al Hilal ni nani kwamba hafungiki?
Kama kikokotozi huwezi kutumia basi tumia visodaKaka vipi Takwimu za Steve Mukwala na Ibrahim Bacca hazitii uchungu?
Mazembe hawezi kumwachia Mc Alger wakati hata hao Mazembe nao wana nafasi ya kufuzuChampions League Kama last game unacheza nyumban na Una nafas ya kufuzu hapo uhakika wa kufuzu ni zaidi ya 60%
Next week Yanga akimfunga Al Hilal nae Algiers akimfunga Mazembe basi mechi ya mwisha watakutana taifa wakat tofaut ya point kat ya Yanga na Algeriers ikiwa moja Tu. Yaani
1. Al hilal 10
2. MC Algiers 8
3. Yanga 7
4. Mazembe 2
Changamoto zilizopo ni kuwa Wakongo wanapenda Sana kupokea Rushwa wakat Waarabu wapo vizur Kwa kupenda kutoa Rushwa.
Al hilal kafuzu lakin anawezwa hongwa na Algiers ili amkazie Yanga.
Lakin pia changamoto nyingine kama
Mazembe ni Kama ana kinyongo Zaid na Yanga kuliko timu zingine hivyo game na Algeriers anaweza kumuachia Tu Algiers.
Vile vile Mazembe anajua kwamba mechi ngum aliyonayo ni dhid ya Algiers tu. Kwamba afanye juu chin amfunge Algiers na Al hilal amfunge Yanga. Last game amfunge ndugu yake Al hilal hapo wanafuzi Al hilal na Mazembe.
Hili kundi linaweza kuwa na upangaji wa matokeo. CAF wangeweka mechi zote siku moja na muda mmoja.
Kwamba ni mbumbumbu au,Nikirudi kuchangia maada Yanga anahitaji kushinda tu mechi zake bila kujali nani anafanya nini, bila shaka nyie ndio mlikuwepo kwenye mkutano wa Mzee Rage na siku analetwa Manzoki kwenye uchaguzi
Mwarabu anakuja kwa Mkapa na Msudani ndio tutamfata kwao ambako na yeye ni mgeniMpira wa miguu huwa na maajabu
Tusishangae Yanga akashinda mechi zake zote mbili zilizobaki (Japo kumfunga Mwarabu kwao sitegemei likitokea)
Muhasibu hajasema kuwa yanga haitavuka bali inahitajika mahesabu makali sana kuvukaMhasibu weka akiba ya maneno, utakimbia uzi wako